waganga wa jadi huzikwa kwa kukarishwa

Waganga wengi wakifa huenda straight kuzimu na kuishi maisha ya utumwa mkubwa huko hadi Bwana Mkubwa (Mungu Mwenyezi) atakapoamua wafe rasmi!
Kwamba wakifa hapa Bado hawajafa?

Embu tupe neno la Biblia. Naona kama unatupanga hapa.
 
Nimewahi kusikia hivyo ila si kila mganga huzikwa kwa kukalishwa, hutegemea na rank ya mganga.
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

Attachments

  • FB_IMG_1752347023087.jpg
    176.5 KB · Views: 23
Nimeona mtu fulani anawazungumzia waganga kwa kuwahukumu baada ya kifo, niseme wazi nimesikitishwa sana na hilo...

Hivi anajua hao waganga wamesaidia watu wangapi leo ambao wangekuwa mashoga, wasagaji, makahaba, wahalifu, matasa, misukule (kwa kulogwa) wakawasaidia, wakaepukana na hayo madhila?

Sawa, huko kwenye imani yako unawafahamu vizuri kwa undani mambo ya sirini ya hao waumini wenzako?

Rafiki yangu kama ukijua, nakuhakikishia ungeacha kwenda kwenye nyumba yako ya ibada.

Bado hilo halihusiani na maoni yangu kuwa kuna wanaojiita waganga huku wakiwa wachawi, wakiharibu maisha ya wengine kupitia jina la Mganga.
 
Mkizika kawaida mjiandaa kichapo tu mizimu ya mababu itawashughulikia mpaka mseme πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…