MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Kama uchawi umeandikwa kwenye vitabu vitakatifu kuwa upo Basi Mwenyezi Mungu hawezi kuishia kuandika tu kuwa uchawi upo Halafu ishindikane kumtambua Mchawi .
Mungu ameandika kitabu gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uchawi umeandikwa kwenye vitabu vitakatifu kuwa upo Basi Mwenyezi Mungu hawezi kuishia kuandika tu kuwa uchawi upo Halafu ishindikane kumtambua Mchawi .
Haya mambo haya hatariKuna Mchawi ndugu wa mama Mdogo kwa mkubwa alistukiwa alipoulizwa akakataa,
Alokuwa anamhoji yuko makini sana akitaka kutoka kwenye mstari anamrejesha mwisho akasema labda alivyokuwa Mdogo ndipo alimroga na mama yake mzazi .
Imagine [emoji848][emoji848][emoji848]
Akamwambia Sasa ukitaka nikisitiri nisikukate mapanga wala bastora nenda kaninasue, nenda kanifungue nakupa muda mfupi sana la sivyo ama żako nimechoka mateso ya miaka mingi.
Akaanza kumwelekeza kwa watu 3 akaaguliwe.
Acha utaalamu uchwara, utaangamia.Unajuaje kama ndugu ni mchawi ?
Diagnosis ya uchawi inafanywa na mashine gani ? Ama kipimo gani ?
Naunga mkono hoja.Kwanza fahamu kuwa kumfahamu adui yako na mtesi ni hatua moja nzuri sana.
Tena ukijua shukuru Mwenyezi Mungu maana itakupa kuishi nao kwa tahadhari ya hali ya juu na kujiwekea mipaka.
Mwenyezi Mungu akikubainishia adui na Watesi ujue anakupenda sana na kama unapitia mitihani mizigo jua unaenda kushinda muda si mrefu .
Biblia Takatifu.
Ubishi wa kitoto, tafuta kazi jombaa.Biblia ni neno lililotokana na neno la Kigiriki Biblios lenye maana ya mkusanyiko wa vitabu vingi.
biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi tofauti tofauti katika miaka tofauti tofauti. Vikaja kukusanywa pamoja na roman empire na kuwa compressed kiwe kitabu kimoja kikubwa.
JE MUNGU ALIANDIKA BIBLIA LINI NA KWA USHAHIDI GANI ?
Nani alimuona Mungu wakati anaiandika biblia.. na alipomaliza kuiandika Mungu alimkabidhi nani ?
Ubishi wa kitoto, tafuta kazi jombaa.
Hoja huwa inabishwa kwa hoja sio kwa matusi.
Mimi nimesoma bible knowledge O level na Divinity A level.
Hunidanganyi chochote kuhusu biblia.
Na hata uislam na Quran yake naujua jua kupitia somo la Anthropology
Kwa hiyo huamini kwamba Biblia ni Maandiko Matakatifu ya Mwenyezi Mungu?
Kumbe tunajadiliana na Pagan?
Sasa kama ni hivyo haina haja ya kuendelea na majadiliano iwapo kumbe kwenye msingi wa imani hupo.
Kama huamini hivyo vitabu vitakatifu kuwa ni maneno ya Mungu Basi hiyo divinity yako ulisoma ili upate credits kwenye matokeo ya mtihani lakini hukuwa na nią ya kujifunza na kupokea Kweli ya Mungu.
Ulisoma kama somo la kawaida la kitaaluma tu basi.
Naona afadhali ya uongo wa mganga wa kienyeji.Habarini wana JF natumaini tumeanza mwaka vyema kabisa
Bila kupoteza wakatai nataka niwaletee hiki kisa ambacho tumeishi nacho tukiwa wadogo mpaka hivi sasa tumekuwa tunazidi kueelewa ilikuwaje maana wakati wadogo tulikuwa hatuambiwi chochote.
Iko hivi familia ya mzee wangu walizaliwa watoto wa tano kutoka kwa mke mkubwa maana babu alikuwa na wake watatu na familia tatu ila izo nyingine sitozizungumzia ntaongelea familia ya mzee wangu baba ni mtoto wa kwanza kwenye hii familia anafatiwa na dada ake ambaye ni shangazi yetu pia na wadogo zake wawili huyu mdogo wake watatu ambaye ni bamdogo wangu ndo chanzo cha mkasa mzima japo yeye hahusiki moja kwa moja.
Ilianza bamdogo alipo taka kuoa ni mwanzoni mwa miaka ya 2000s familia ilikuw imemchagulia mke sasa yeye akumpenda yule mke akawaelekeza wazee wake wakamueelewa akasema tayari anamchumba wake ambaye yuko kijiji jirani basi mdaa ulipo fika alienda kumchukua na kumtambulisha kwa wazee kwamba huyu ndio mke wake siku tu ya kwanza mke wa bamdogo kufika vilizaliwa visirani na shangazi awakutokea kupendana kabisa ukiskia ugomvi wa mawifi sasa huyu mke wa bamdogo ambaye ni mamdogo wangu alikuwa mpweke sana maaana alionekana sio chaguo la familia kwa sababu kijiji anachotoka kinasifika kwa uchawi basi ikalazimika bamdogo haame kipindi iki mzee alikuwa anafanya biashara zake mkoa mwingine ko ikabidi amchukue bamdogo na mke wake wakae nae huku akimfundisha biashara maisha ya kaeendelea kawaida kabisa huku shangazi akigoma kuja kututembelea kwa sababu ya mamdogo akidai ni mwanga baada ya kipindi kifupi bamdogo aka master biashara na kuanza kujitegemea na kuondoka kwa mzee (kaka yake).
Basi visanga vilianza rasmi baada ya mamdogo kutopata mtoto na kila mimba aliyokuwa anashika inatoka/kuaribika aisee hili lilikuw tatizo kubwa mnoo kweny hukoo ki ujumla kwa upande wa familia ya mzee shangazi ndo alikuwa mkali akidai huyu mwanamke hafai ana mikosi na rahana za ukoo wao niliwaambia toka mwanzo amkutaka kunieelewa, amna jambo baya kuonekana hufai na unazidi kuthibitisha hufai bamdogo alihisi kuvurugwa lakini alishikilia msimamo wake na akumkatia tamaa mke wake bamdogo hiki kipindi alikuwa mtu wa mawazo sana alipoteza nuru alikonda ka mgonjwa kwa upande wa ma mdogo ndugu zake walimwambia amerogwa inabidi aende kwa mganga na akapewa maelekezo huku akirini mwake akiamini hivi vyote ni visa vya shangazi kwa kuwa hamtaki.
Mamdogo alinambia kwa uchungu sana huku akinambia mwanangu nimetafuta sana mtoto
Basi baada ya kupewa maeelekezo na ndugu zake mamdogo ilibid arudi kwao kwajiri ya kufanyiwa utalamu na mganga wa jadi ambaye anaaminika.
Mamdogo alieenda kwao na alikaa zaidi ya mwezi mmoja na akiwa anapewa dawa na huyo mganga na kufanyiwa matambiko ya ukoo wao alirud akiwa kakondaa sana hiki kipindi bamdogo na mzee ndo walieenda kumchukua alirudi na chale nyingi sana mgongoni kwa kifuani sehemu ya juu kidigo ya maziwa na sehemu nyingine huku akisema mganga kamwambia aliye mroga ila hatakiwi kusema kwa mtu yoyote ili jambo lilileta shida kidogo kwa kuwa wanafamilia walitaka kujua ukweli wote hapa ndo chuki zilizidi baada ya babu kujua mkwe wake kaeend kwa mganga.
Basi miezi kadhaa ikapita mamdogo alifanikiwa kushika mimba na miezi tisa ikapita hatimaye alijifungua mtoto wa kiume lakini mtoto alizaliwa na matatizo walivyodai wao akuwa baraka bali maumivu kipindi hiki nilimuona mtoto nilikuw mdogo pia ila nilimzid miaka kadha mtoto alizaliwa na ulemavu alikuwa awez kukaa wala kutambaa ni kulala tu hata mdaa wakufanya ivyo ulivyofika ilikuw shida sana furaha ya mamdogo kupata mtoto ilianza kupotea kabisa walitafuta njia mbali mbali za kumsaidia mtoto zilishindikana na mwisho wakarudi kwq waganga wa kienyeji..
Wapi imeandikwa kwamba Mungu aliandika biblia?Biblia ni neno lililotokana na neno la Kigiriki Biblios lenye maana ya mkusanyiko wa vitabu vingi.
biblia ni mkusanyiko wa vitabu 66 vilivyoandikwa na waandishi tofauti tofauti katika miaka tofauti tofauti. Vikaja kukusanywa pamoja na roman empire na kuwa compressed kiwe kitabu kimoja kikubwa.
JE MUNGU ALIANDIKA BIBLIA LINI NA KWA USHAHIDI GANI ?
Nani alimuona Mungu wakati anaiandika biblia.. na alipomaliza kuiandika Mungu alimkabidhi nani ?
Biblia ipo Injili,Zaburi,Taurati(TORAH),kwa mujibu wa Uislamu,hivyo vitabu vya Mungu,tatizo linakuja kwenye tafsiri kutoka vitabu vya lugha ya asili kuja lugha nyingine,ndi mkanganyiko unakuja hapo.Qur'an ili iwe ni Qur'an,mpaka iwe kwenye lugha ya asili,ikitafsiriwa,inatwa tafsiri ya Qur'an.Wapi imeandikwa kwamba Mungu aliandika biblia?
Waandishi wa biblia wamejitaja kwa majina na hakuna sehemu yoyote wamesema Mungu ndo aliandika.
Ila amri kumi ndo Mungu alimpa Mussa.
Acha kuchanganya na Quran ambayo iliandikwa na Allah na akateremshiwa Muhammad.
Usisahau Kuni tagi mkuuNitakuja na uzi wangu nlivyoenda sehemu inaitwa Kwamsisi wilaya ya Handeni, km kama 32 kutoka Mkata mwaka 2022, November. Najua ndugu Mshana Jr anapafahamu kindaki ndaki
Poleni sana aisee wachungaji nao janjajanja sikuhiziNaona afadhali ya uongo wa mganga wa kienyeji.
Mimi familia imetawanywa na mchungaji na waombezi.
Wanasisitiza kuwa kaka yetu ni mchawi kwa kuwa anafanya biashara yenye masharti ya kuua.
Wenye akili fupi wameamini na kujitenga vibaya.
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
watu wa hivi mpaka yamkute mtu unaemfahamu ndio huwa mnaamini. uchawi upo, ndio maana kuna watu huamua kukata mazoea yaliyozidi na watuUnajuaje kama ndugu ni mchawi ?
Diagnosis ya uchawi inafanywa na mashine gani ? Ama kipimo gani ?
watu wa hivi mpaka yamkute mtu unaemfahamu ndio huwa mnaamini. uchawi upo, ndio maana kuna watu huamua kukata mazoea yaliyozidi na watu