Waganga wa kienyeji walivyovunja undugu kwenye ukoo wetu

Kama ni ukweli kuna uchawi wacha ukoo usambaratike tu hakuna jinsi.

Inafaida gani kuzani ni ndugu kumbe ni mtesi?

Mtesi ni zaidi ya adui.

Adui akiwa ndugu wa karibu anakuwa mbaya zaidi sababu anaweza ku Access vitu vyote muhimu vya kukufunga ukafungika au kukuua, kuharibu ndoa, kufunga watu wasizae, watoto Shule wawe wasindikizaji, kuharibu kazi n.k.
Kwakweli adui akiwa ndugu ujue umekwisha
 
Kama ni ukweli kuna uchawi wacha ukoo usambaratike tu hakuna jinsi.

Inafaida gani kuzani ni ndugu kumbe ni mtesi?

Mtesi ni zaidi ya adui.

Adui akiwa ndugu wa karibu anakuwa mbaya zaidi sababu anaweza ku Access vitu vyote muhimu vya kukufunga ukafungika au kukuua, kuharibu ndoa, kufunga watu wasizae, watoto Shule wawe wasindikizaji, kuharibu kazi n.k.
Kweli kabisaa
 
Kama una 20000 njooo inbox nikuunganisha na mmoja yupo Tanga ni kiboko Hadi waganga wengine huenda kwake kuchukua ushauri jamaa ni moto wa kuotelea mbali na hana gharama
 
Back
Top Bottom