begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
Kwakweli adui akiwa ndugu ujue umekwishaKama ni ukweli kuna uchawi wacha ukoo usambaratike tu hakuna jinsi.
Inafaida gani kuzani ni ndugu kumbe ni mtesi?
Mtesi ni zaidi ya adui.
Adui akiwa ndugu wa karibu anakuwa mbaya zaidi sababu anaweza ku Access vitu vyote muhimu vya kukufunga ukafungika au kukuua, kuharibu ndoa, kufunga watu wasizae, watoto Shule wawe wasindikizaji, kuharibu kazi n.k.