Waganga wa kienyeji wanavyolala na wanawake kwa kigezo cha matibabu

Ndiyo maana waganga wengi wanakufa sana kwa ngoma kizazi hiki
 
Ujinga huu .... Mpaka sasa watu wanaamini uganga jamani kafungwa kwann asiende kuombewa .... Yaani angeingiliwa tu mpaka itokee kooni
 
Hamnazo yaani huwezi fikiria huyu mganga anashindwa kuweka dawa kama cyo goli la mkono....hilo wamejifunga wenyewe acha refa aweke mpira Kati..
 
Hahaha.... kwahiyo angetumia goli la mkono
 
Hahaha
 
Asee
 
Hii hatari!,wengi ni matapeli na hutumia matatizo ya uzazi kufanya ufirauni,mtu akiambiwa naingiza dawa kwa dyudyu atakubali tu,na liganga hata halivai kinga.
Atavaaje kinga, na dawa inatakiww iingie kunako vizuri
 
Mimi ndio ningekua mganga, hiyo dawa ningekua nagawa tu bure wallah...πŸ˜‹
 
Umenikumbusha kesi ya Mama Mmoja aliyekuwa Mmiliki wa Fountain Gate Ununio Beach... Ilikuwa hivyohivyo ila kulikuwa na Mtoto mmoja wa KIGOGO MSTAAFU... Ndiye alikuwa anampa
... Mwishoni wakamtapeli kama 100M alivyowasumbua wakamuua wakamtupa kwenye Septic Tank la Shule hiyo.... SAD πŸ˜” 😟 πŸ™ πŸ˜₯


.
 
Magonjwa Gani yenye kukosa matibabu hospitali ayaweze kapuku lulembela ndani ndani huko?
Huwajui Waganga wewe

Yaani akiwa na nia ya kula mzigo lazima atatumia mbinu zozote ikiwemo hiyo ya kuingiza dawa ukeni kupitia kifanyio chake πŸ˜…
 
Hawakukamatwa hao matapeli wa mchongo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…