Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha eti akawatibuSasa mashtaka ya nini.. kwani aliwaita.. si wamejipeleka wenyewe.. yeye akawatibu... hamna kesi hapo ni ujinga wao tu...
Hamnazo yaani huwezi fikiria huyu mganga anashindwa kuweka dawa kama cyo goli la mkono....hilo wamejifunga wenyewe acha refa aweke mpira Kati..Habari zenu humu,
Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao.Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi yake walikuja kuripoti tatizo hilo wakisema kuwa mganga amenanii nao eti kama njia ya kuwapatia matibabu,dada huyo ambaye ni mjamzito wa miezi 7 alikwenda kwa mganga huyo eti akamfungue kutokana na kufungwa kishirikina na majirani zake asijifungue miezi 9 ikifika ili afe.Kwahiyo mganga akamwambia kuna dawa atampka lakini kwa kumwingiza dyudyu huko,kwahiyo mganga akaduu nae.Wifi yake nae ambae alikuwa na tatizo la kutopata mtoto aliambiwa na mganga huyo kuwa atapewa dawa ya kupaka kunako huko lakini kwa kusaidiwa na mganga huyo kuingiza kwa dyudyu yake.Kuja kutaharuki mganga kawapitia wote mtu na wifi ake ndani ya siku moja.
Sasa ndugu zangu watu hao wanataka kumfungulia mashtaka mganga huyo,je kuna nafasi ya kushinda kesi hii dhidi ya mganga huyo??
Kuna haja ya kujifunza uganga wa kienyeji manake hao akina dada wenyewe Mashaalah,manake mmhh.....
Naomba uwe mganga wangu Mkuu!Hahahaha.......yaani dawa lazima iingizwe na dyudyu tu,afu sijui dawa gani hiyo inatibu magonjwa yote!!!
HahahaHuo mchezo unafanywa sana na matapeli wanaojificha kwenye kichaka cha waganga wa kienyeji,yaani kwa kweli dada zetu,mama zetu wanapigwa ille mbaya,kuna yule mama mmoja wa wamiliki wa shule moja ya sekondari wilaya ya same mkoani Kilimanjaro,mwaka jana aliingia kwenye anga za hao jamaa,wakamwambia atoe pesa wamtengenezee dawa ili shule yake ipate wanafunzi wengi mpaka mwenyewe akimbie,jamii alitoa sharti moja kuwa ili dawa ifanye kazi sharti amegwe,na kweli alimegwa mbaya sana tena kwenye mahoteli makubwa makubwa mwisho wa siku hakuwa cha wanafunzi kujaa wala nini,kumegwa amemegwa na pesa ya kutosha akachapwa,leo ni mgogoro mkubwa ndani ya familia,yule mama baada ya kugundua kuwa alikuwa anapigwa bila kujijua,akaenda kufungua jalada polisi jamaa akakamatwa lakini akawaambia polisi kuwa yule mama ni mpenzi wake na hajawahi kumwambia kama mke wa mtu na kaonyesha ushahidi wa picha wakila bata,sasa hapo kuna kesi?,wajinga ndiyo waliwaoooooooooooooo
Lukishaona mkeo ni mtu wa kupenda mambo ya waganga wa jadi ujue kashanogewa na dyudu zao.
AseeHabari zenu humu,
Kumekuwa na wimbi la matukio ya waganga wa kienyeji kutembea na wagonjwa wao kila wanapokwenda kupata huduma ya matibabu kwa waganga hao.
Wiki moja iliyopita kuna mtu na wifi yake walikuja kuripoti tatizo hilo wakisema kuwa mganga amenanii nao eti kama njia ya kuwapatia matibabu, dada huyo ambaye ni mjamzito wa miezi 7 alikwenda kwa mganga huyo eti akamfungue kutokana na kufungwa kishirikina na majirani zake asijifungue miezi 9 ikifika ili afe.
Kwa hiyo mganga akamwambia kuna dawa atampaka lakini kwa kumwingiza dyudyu huko, kwa hiyo mganga akaduu nae.
Wifi yake nae ambae alikuwa na tatizo la kutopata mtoto aliambiwa na mganga huyo kuwa atapewa dawa ya kupaka kunako huko lakini kwa kusaidiwa na mganga huyo kuingiza kwa dyudyu yake. Kuja kutaharuki mganga kawapitia wote mtu na wifi ake ndani ya siku moja.
Sasa ndugu zangu watu hao wanataka kumfungulia mashtaka mganga huyo, je kuna nafasi ya kushinda kesi hii dhidi ya mganga huyo??
Kuna haja ya kujifunza uganga wa kienyeji manake hao akina dada wenyewe Mashaalah,manake mmhh.....
Atavaaje kinga, na dawa inatakiww iingie kunako vizuriHii hatari!,wengi ni matapeli na hutumia matatizo ya uzazi kufanya ufirauni,mtu akiambiwa naingiza dawa kwa dyudyu atakubali tu,na liganga hata halivai kinga.
Kwanini unasema hivyo??Manake maradhi mengine unakuta yamekosa matibabu hospitali
Umenikumbusha kesi ya Mama Mmoja aliyekuwa Mmiliki wa Fountain Gate Ununio Beach... Ilikuwa hivyohivyo ila kulikuwa na Mtoto mmoja wa KIGOGO MSTAAFU... Ndiye alikuwa anampaHuo mchezo unafanywa sana na matapeli wanaojificha kwenye kichaka cha waganga wa kienyeji,yaani kwa kweli dada zetu,mama zetu wanapigwa ille mbaya,kuna yule mama mmoja wa wamiliki wa shule moja ya sekondari wilaya ya same mkoani Kilimanjaro,mwaka jana aliingia kwenye anga za hao jamaa,wakamwambia atoe pesa wamtengenezee dawa ili shule yake ipate wanafunzi wengi mpaka mwenyewe akimbie,jamii alitoa sharti moja kuwa ili dawa ifanye kazi sharti amegwe,na kweli alimegwa mbaya sana tena kwenye mahoteli makubwa makubwa mwisho wa siku hakuwa cha wanafunzi kujaa wala nini,kumegwa amemegwa na pesa ya kutosha akachapwa,leo ni mgogoro mkubwa ndani ya familia,yule mama baada ya kugundua kuwa alikuwa anapigwa bila kujijua,akaenda kufungua jalada polisi jamaa akakamatwa lakini akawaambia polisi kuwa yule mama ni mpenzi wake na hajawahi kumwambia kama mke wa mtu na kaonyesha ushahidi wa picha wakila bata,sasa hapo kuna kesi?,wajinga ndiyo waliwaoooooooooooooo
Huwajui Waganga weweMagonjwa Gani yenye kukosa matibabu hospitali ayaweze kapuku lulembela ndani ndani huko?
Hawakukamatwa hao matapeli wa mchongo?Umenikumbusha kesi ya Mama Mmoja aliyekuwa Mmiliki wa Fountain Gate Ununio Beach... Ilikuwa hivyohivyo ila kulikuwa na Mtoto mmoja wa KIGOGO MSTAAFU... Ndiye alikuwa anampa
... Mwishoni wakamtapeli kama 100M alivyowasumbua wakamuua wakamtupa kwenye Septic Tank la Shule hiyo.... SAD 😔 😟 🙁 😥
.