Huyu dogo viongozi wake wasipoingilia mapema hili suala basi wajuwe anakwisha kisoka, mnafikiri kwanini Mama Dangote alikuwa anambonda makonde ya Tyson kwa ung'ang'anizi wa kutaka apewe nyumba ya kifahari wakati hana mchango wowote kwa maendeleo ya Diamond.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.