Wagawanye uwatawale inavyotumika kuua Vyama Pinzani

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,983
Reaction score
7,157
Hivi karibuni, June kuwepo na juhudi kubwa za chama Fulani kushinda Uchaguzi ujao, katika kutekeleza juhudi hizo chama hicho kongwe, kina tumia pesa na nguvu zingine ilizo nazo , ili kuzivuruga Vyama Pinzani.

Lakini nikionacho hizo juhudi ni adha zake zitakazo achwa baada ya chama kongwe kufanikiwa. Mfano ni kuwepo kwa Kesi iliyofunguliwa na upande moja wa muungano kwa minajili ya kukidhoofisha chama hicho pinzani, kuwepo kwa vikundi kama G50, vinavyo fadhiliwa na chama K ngwe, ,

Pia mlolongo wa Vyama pinzani ambavyo vina fadhiliwa na chama kongwe ili Vyama Pinzani vionekane ni vya ovyo au sio watu wakuaminika. Tukumbuke wasia wa Baba wa Taifa juu ya dhambi ya ubaguzi au Tatizo la Kula Nyama ya ntu, huwezi kuacha.
 
Hivi karibuni, June kuwepo na juhudi kubwa za chama Fulani kushinda Uchaguzi ujao, katika kutekeleza juhudi hizo chama hicho kongwe, kina tumia pesa na nguvu zingine ilizo nazo , ili kuzivuruga Vyama Pinzani. Lakini nikionacho hizo juhudi ni adha zake zitakazo achwa baada ya chama kongwe kufanikiwa. Mfano ni kuwepo kwa Kesi iliyofunguliwa na upande moja wa muungano kwa minajili ya kukidhoofisha chama hicho pinzani, kuwepo kwa vikundi kama G50, vinavyo fadhiliwa na chama K ngwe, , pia mlolongo wa Vyama pinzani ambavyo vina fadhiliwa na chama kongwe ili Vyama Pinzani vionekane ni vya ovyo au sio watu wakuaminika. Tukumbuke wasia wa Baba wa Taifa juu ya dhambi ya ubaguzi au Tatizo la Kula Nyama ya ntu, huwezi kuacha.
Tatizo ni uongozi usiokuwa na dira wa Chadema
 
Hivi karibuni, June kuwepo na juhudi kubwa za chama Fulani kushinda Uchaguzi ujao, katika kutekeleza juhudi hizo chama hicho kongwe, kina tumia pesa na nguvu zingine ilizo nazo , ili kuzivuruga Vyama Pinzani.

Lakini nikionacho hizo juhudi ni adha zake zitakazo achwa baada ya chama kongwe kufanikiwa. Mfano ni kuwepo kwa Kesi iliyofunguliwa na upande moja wa muungano kwa minajili ya kukidhoofisha chama hicho pinzani, kuwepo kwa vikundi kama G50, vinavyo fadhiliwa na chama K ngwe, ,

Pia mlolongo wa Vyama pinzani ambavyo vina fadhiliwa na chama kongwe ili Vyama Pinzani vionekane ni vya ovyo au sio watu wakuaminika. Tukumbuke wasia wa Baba wa Taifa juu ya dhambi ya ubaguzi au Tatizo la Kula Nyama ya ntu, huwezi kuacha.
Chama ambacho hakitaki kushika dola siyo chama Cha siasa ni uharakati
 
Back
Top Bottom