Watanzania wengi wakipata ajira hawataki kujisumbua, kwanza kumekuwa na malalamiko mengi ya dharau, muda mwingi hawapo maofisini, kazi ya siku 1 inafanywa mwezi, kupenda kitu kidogo (Rushwa), n.k. Pesa za marekebisho ya miundombinu zinapigwa sana. wengi wapo kwenye ajira kama kitega uchumi lakini uwajibikaji ni zero,
Ttcl apewe mhindi mkataba wa miaka 10 nina uhakika 2028 fibre zitatandazwa hadi vijijini
SGR apewe mchina miaka 10 hamtakuja kusikia hizo kero za watu kushushwa waunge na mabasi
Bandari apewe mwarabu miaka 10 mizigo itakuwa inatoka fasta hakuna mambo ya vishoka