Wagiriki nini kiliwakuta? Sasa hivi hamna tena Wagiriki wenye akili kama zamani?

mpaka leo wanaidadi kubwa ya maneno kwenye sayansi tunatoa kwao.
Ila kutokana na elimu kukua wametapakaa ndio maana inaonekana wagiriki kupotea
 
Serikali yetu,;Executive,Judiciary na Parliament,haya mambo yamekuwa coined na Aristotle. Wagiriki wameeanzisha civilization,Warumi wameirithi,wameieneza Europe. Wazungu wameiendeleza Duniani kote.
Uingereza ilikuwa koloni la Rome. Sasa unataka nini zaidi kutoka kwa Wagiriki?
 
Logocally huwezi kwenda ikulu huku unakimbia uchi,vuta pucha tu ikulu ya magogoni pale
 
Mfumo mzima wa Mahakama Hadi terminology nyingi zipo kwa lugha ya kilatini. Jamaa wana akili sana
 
Itakuwa bado wapo wamejichanganya kwenye nchi nyingine huko ulaya...wenzetu wapo mobile, bara lao limekuwa kama nchi moja
 
Umemtaja Marco Polo umenikumbusha huyu jamaa na Silk road. Wachina wamemtemgenezea muvi nyingi sana..Ila Japan na England naziheshimu sana hizi nchi, ni visiwa tu ila mambo yake noma sana. Sasa hivi ndio wamepunguza makali
Mkuu kama hutojali naomba unielezee kidogo kuhusu huyu Marco Polo Da'Vinci
 
Mkuu hivi unaijua ugiriki ya zamani na warumi kukaa uchi lilikua jambo la kawaida. Angalia hata michoro na sculpture zao
Ile ilikuwa na association ya Miungu na ilimaanisha Miungu yao ya kale ktk Mythodology ya Wayunani na Warumi...mpaka leo nchi zenye asili ya kirumi kule Spain, Italy, Romania na France wana hizi Sculpture

Walikuwa na Miungu mbalimbali kwenye maisha yao yote, Miungu ya Mapenzi na Uzuri (Venus), Adonis, Aphrodite zaidi ya 10

Vilevile Miungu ya Hewa na Upepo (Anemoi) Miungu ya Udongo, Maji n.k

Zeus (Mungu wa Moto na Radi) Powerful one, alikuwa maarufu zaidi kwasababu walimwamini kuwashindia vita vingi vwa wakati ule

Tangu enzi za Ibrahim walikuwa na Miungu tofauti kabla ya kumwamini Jehova
 

Attachments

  • images%20(18).jpg
    61.6 KB · Views: 18
Bila Mudi hiyo orodha yako ni batili.
 
Mfumo mzima wa Mahakama Hadi terminology nyingi zipo kwa lugha ya kilatini. Jamaa wana akili sana
Hii haikuwa na budi kutokea kwasababu Rumi ilitawala Dunia nzima almost

Kwa maana hiyo utamaduni wao ulienea pote, lugha ni sehemu ya utamaduni kwahiyo maandishi na mazungumzo yote ya nyakati zile karibu kila mahala duniani walitumia kirumi
 
Hii haikuwa na budi kutokea kwasababu Rumi ilitawala Dunia nzima almost

Kwa maana hiyo utamaduni wao ulienea pote, lugha ni sehemu ya utamaduni kwahiyo maandishi na mazungumzo yote ya nyakati zile karibu kila mahala duniani walitumia kirumi
Karne ya 17-18 mwanamke kuweza kuongea Kilatini ilikua Ni added advantage ya kupata mume mwenye hadhi. Waingereza wengi walienda Italy kujifunza kilatini
 
Aisee! Akakimbia uchi mpaka ikuluπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee! Akakimbia uchi mpaka ikuluπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Archimedes usimchukulie poa alikua anaheshimika sana na falme za ugiriki maana alikua anasaidia kuvumbua techs za kupigania vita au ulinzi wa nchi yake. Eg. Alitengeneza vioo ambavyo vilitumiwa na wagiriki kuchoma meli za wavamizi au adui waliokua wanaivamia ugiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…