Smart Contract
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 1,158
- 2,847
Golden age ya Misri walikuwa akina nani vile?Conclusion kila jamii Ina golden age yake unfortunately Africa bado hatujawa na golden age
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Golden age ya Misri walikuwa akina nani vile?Conclusion kila jamii Ina golden age yake unfortunately Africa bado hatujawa na golden age
Wale waliojenga pyramidGolden age ya Misri walikuwa akina nani vile?
yah walioanzisha civilization dunianiWale waliojenga pyramid
Serikali yetu,;Executive,Judiciary na Parliament,haya mambo yamekuwa coined na Aristotle. Wagiriki wameeanzisha civilization,Warumi wameirithi,wameieneza Europe. Wazungu wameiendeleza Duniani kote.Ukifunua vitabu vya sekondari kila definition utaona inaanza "it's greek Word" hata lugha rasmi ya Binomial nomenclature ni Greek tuseme Biology na sayansi kwa ujumla lugha yake ni Kigiriki.
Kwanini?
Asiilimia 70% ya wanafalsafa, Wanasayansi, Wagunduzi wote wanatoka Ugiriki. Kwa ufupi Sayansi imeanzia Misri ya kale na kutapakaa ulaya hasa ugiriki huko ndiko ilikofanyiwa kazi vizuri wewe chunguza kila mwanafalsafa anatoka Ugiriki.
Ugiriki ya zamani ilikua imeundwa na miji ipatayo mia moja ambapo kila mji ulikua na utawala wake, Mji wa Athens na Sparta ndio ilikua miji mikubwa na yenye nguvu zaidi, japo miji hii mra nyingi ilikua inapigana kwa ajili ya kugombania ardhi lakini vilikua vimejiunga pamoja ili kujilinda na uvamizi wa kutoka nje.
Enzi hizo Ugiriki ilikua Ugiriki kweli kuna madume ya haja hasa (Alpha, Beta peoples) mwaka 480 BC Mfalme Leonidas wa Sparta aliongoza jeshi la wanaume 300 tu kupambana na mfalme Xerxes kutoka Persia mwenye jeshi la watu 10000+ lakini waliwachinja hasa richa ya uchache wao. Japo Leonidas aliahindwa ila alijitahidi kuziwia uvamiI huo ambapo baadae Mfalme Xerxes alikuja kuuwawa na mrithi wa leonidas Themistocles
✓✓Kumbuka mfalme Xerxes ndio mfalme aliyemuoa Ester wa kwenye biblia ambae ester alitumia penzi kuziwia kuuwawa kwa Wayahudi wotewaliokua Babeli. (Kaa kumbukumbu zangu zipo sawa) Wafalme wa Persia waliitwa Ahasuerus. (Ahusuhero).
Sasa waku nini kiliwapata hawa watu? Gunduzi zote zilizofanywa kwao haziwanufaishi. Nilitegemea Ugiriki iwe miongoni mwa Super power county ila hata G7 haipo sijui G20.
Nini kiliwatokea? Sasa hivi hamna tena watu wenye akili au??
Logocally huwezi kwenda ikulu huku unakimbia uchi,vuta pucha tu ikulu ya magogoni paleThen do it better as an intellectual...
Nipinge kwa kuleta facts,jinsi archimedes Alivyogundua law of floatation
Maana kupitia tukio hilo ndio msemo maarufu kwenye sayansi ulipotokea... Eureka!
So nakusubiria ulete uthibitisho wa kunipinga hicho nilichoeleza...Kama wewe mtu mzima.
Mfumo mzima wa Mahakama Hadi terminology nyingi zipo kwa lugha ya kilatini. Jamaa wana akili sanaSerikali yetu,;Executive,Judiciary na Parliament,haya mambo yamekuwa coined na Aristotle. Wagiriki wameeanzisha civilization,Warumi wameirithi,wameieneza Europe. Wazungu wameiendeleza Duniani kote.
Uingereza ilikuwa koloni la Rome. Sasa unataka nini zaidi kutoka kwa Wagiriki?
Mkuu kama hutojali naomba unielezee kidogo kuhusu huyu Marco Polo Da'VinciUmemtaja Marco Polo umenikumbusha huyu jamaa na Silk road. Wachina wamemtemgenezea muvi nyingi sana..Ila Japan na England naziheshimu sana hizi nchi, ni visiwa tu ila mambo yake noma sana. Sasa hivi ndio wamepunguza makali
Ile ilikuwa na association ya Miungu na ilimaanisha Miungu yao ya kale ktk Mythodology ya Wayunani na Warumi...mpaka leo nchi zenye asili ya kirumi kule Spain, Italy, Romania na France wana hizi SculptureMkuu hivi unaijua ugiriki ya zamani na warumi kukaa uchi lilikua jambo la kawaida. Angalia hata michoro na sculpture zao
Bila Mudi hiyo orodha yako ni batili.Ukiniambia nitaje Binaadamu watano wenye akili zaidi duniani nitataja hawa.
1. Imhotep
2. Leonado da Vinci
3. Yesu
4. Nikola Tesla
5. plato
Imhotep ndio baba wa gunduzi zote kunzia hesabu za Geometry, Upasuaji wa ubongo, pyramids na Maze Tombs zilizojengwa Misri katengeneza yeye. Huyu jamaa wagiriki wanamuabudu kama Mungu wa tiba na madawa maana alikua daktari wa kila kitu. Alikua Polymath kwelikweli kuliko hata Da'Vinci. Michoro yote ya Misri katengeneza yeye.
[emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]Bila Mudi hiyo orodha yako ni batili.
Hii haikuwa na budi kutokea kwasababu Rumi ilitawala Dunia nzima almostMfumo mzima wa Mahakama Hadi terminology nyingi zipo kwa lugha ya kilatini. Jamaa wana akili sana
Karne ya 17-18 mwanamke kuweza kuongea Kilatini ilikua Ni added advantage ya kupata mume mwenye hadhi. Waingereza wengi walienda Italy kujifunza kilatiniHii haikuwa na budi kutokea kwasababu Rumi ilitawala Dunia nzima almost
Kwa maana hiyo utamaduni wao ulienea pote, lugha ni sehemu ya utamaduni kwahiyo maandishi na mazungumzo yote ya nyakati zile karibu kila mahala duniani walitumia kirumi
Aisee! Akakimbia uchi mpaka ikulu😂😂😂Wagiriki walivyokua bado hawajaungana kila Eneo linajitawala walitumia nguvu zaidi kujiimarisha maana wao hawakugopa kufa waliaamini wao ni viumbe special kutoka kwa baba yao wa uumbaji Zeus. Majina mengi ya kigiriki yanaishia na S hata majina ya watu wa mataifai mengine yanaishia S kwakua ni utamaduni uliotokana na wagiriki. Yesu pia jina lake laishia na S yaani Jesus sababu ni kwamba wagiriki wanaamini majina yanayoishia na S yanamaanisha ni mwanaume kutokana na Mungu wao wa kiume Zeus jina lake lainshia na S
Walivyoungana na kua kitu kimoja wakaanza kutumia akili na nguvu ili kujiimarisha zaido kwa kila nyanja wafalme waliwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri katika kutatua changamoto zinazowakabiri na waliwekea mazingira wezeshi hapa sasa ndio gunduzi zikaanza.
Mfano......
Kipindi fulani ugiriki ilikua ni sherehe ya mavuno hivyo wagiriki walikua wanamsherehekea Mungu wao wa mavuno kuwapatia mavuno mengi. Mfalme kama kiongozi mkuu alitakiwa awepo kwenye sherehe sasa mfalme akampatia dhahabu Muhunzi (Goldsmith) amtengenezee kofia ya kuvaa wakati wa sherehe (Crown), Muhunzi kuona dhahabu kashikwa na tamaa akachakachua dhahabu akaweka dhahabu nusu akaongezea na bronze (shaba) akampelekea mfalme kofia yake.... Mfalme akaangalia kofia akaona hapa kashapigwa cha juu ila hana uhakika.
Akaamua kumuita jamaa mmoja ambae kipindi hicho aliaminika ana akili sana aje amchunguzie kofia yake kama imetengenezwa kwa dhahabu tupu kweli au imechanganywa. Ila akamwambia asiiharibu wakati wa kuichunguza maana hana kofia nyingine...Jamaa huyo ni Archimedes
Archimedes akachukua kofia akaenda maabala kwakwe akachunguza wee akashindwa kupata majibu kichwa kikawaka moto hajui afanye nini.. akamuagiza mfanyakazi wake amuwekee mai ya kuoga bafuni kwenye Jacuzzi.
Akaenda bafuni akavua nguo akaingia kwenye Jacuzzi maji yakamwagika nje aivyoona hivo akatoka nje akikimbia uchi huku anapiga kelele hadi ikulu.
Alipomfikia mfalme akaanza kusema harakaharaa "When a body is totally or partially immersed in a fluid is subjected to an upwards force equal to the weight of the displaced fluid. "
Mfalme akamwambia unamaanisha nini wewe mbona sikuelewi 😂😂
Ndio mzee baba akaanza kumuelezea vizuri sasa... Akachukua vipimo vyake akapima uzito wa dhahabu na Shaba kisha akapima uzito wa Ile kofia ikaonekana muhunzi aliiba dhahabu. Na hapo ndio tukapata Law pedwa ya Archimedes principle na law of floatation inayohusu Density. Kupitia law hizo tumepata Meli mbalimbali..
Sio hivyo tu Archimedes alisaidia san kwenye vita..alikua anatengeneza vifaa vya kivita au anatumia vioo kuunguza meli za maadui wanakuja kuvamia nchi yake.
Sisi huku kama una ujuzi wa kutengeneza Gobole au siraha unanyanganywa na unakomeshwa kabisa uwe mfano wengine wasirudie upuuzi kama huo
Archimedes usimchukulie poa alikua anaheshimika sana na falme za ugiriki maana alikua anasaidia kuvumbua techs za kupigania vita au ulinzi wa nchi yake. Eg. Alitengeneza vioo ambavyo vilitumiwa na wagiriki kuchoma meli za wavamizi au adui waliokua wanaivamia ugirikiAisee! Akakimbia uchi mpaka ikulu😂😂😂