Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Sasa wewe pro pk unaumia nini tshisekedi kuhire wagner kuilinda nchi yake na ikiwa huko chigali uwa mnasema hamjihusishi kivyovyote na vita za congo!Jamaa wapo Goma hotelini kbs, soon mtapewa habari kamili bado Tsisekedi anaficha.
Mbona ana vaa kichungajiJamaa wapo Goma hotelini kbs, soon mtapewa habari kamili bado Tsisekedi anaficha.
Na kule CAR wanashilikiana na Jeshi la Rwanda kupambana na waasi na kumlinda Rais wa nchi sasa hii ya kupambana na M23 sijui imekaaje.Wagner wapo wa kutosha hapo Central African Republic ila sijajua kama wapo DRC. Hata hivyo sipingi maana wao kwa Afrika hupenda nchi zenye madini na vita
π₯π₯π₯π₯π₯ππ₯Hao wagner wanakua full equiped hao na well trained sasa huyo mcomoro wa watu hapo na gumboots zake unamuita wagner ? Nyie watu nyie
Wagner wanachoangalia ni pesa au rasilimali. Alafu kumbuka hao ni private military contractor (PMC) kama kina Blackwater ya Erik Prince. Serikali yeyote duniani inaweza fika makubaliano nao kama cause inaendana na sera za Russia, au serikali ya Kremlin yenyewe inaweza watuma popote ambapo haitaki nzi wengi kuisumbua kwanini Russia imeleta wanajeshi wake.Na kule CAR wanashilikiana na Jeshi la Rwanda kupambana na waasi na kumlinda Rais wa nchi sasa hii ya kupambana na M23 sijui imekaaje.