Wagner na wanajeshi wa Urusi wapigana wenyewe kwa risasi

Wagner na wanajeshi wa Urusi wapigana wenyewe kwa risasi

Nasubiri povu za waumini wa mtume mpya Putin.... Kawaite wenzako
.
20230412_213214.jpg
 
Sijui kwa nini mods wamebadilisha heading ya thread,hivi neno "DADADEKI" Lina ukakasi Gani? Huenda Kuna pro-fashist mods hapa jukwaani [emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525][emoji3525]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kumbe habari yenyewe source yake ni Ukraine-Kyiv kama panavyosomeka?
"military authorities from Kyiv said on Sunday".
 
Kumbe habari yenyewe source yake ni Ukraine-Kyiv kama panavyosomeka?
"military authorities from Kyiv said on Sunday".

Wewe hangaika na source ila wenzako hali mbaya....
 
Back
Top Bottom