WAGNER PMC kuendelea na Vita Ukraine!

WAGNER PMC kuendelea na Vita Ukraine!

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine.

Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na uhaba wa silaha!
20230507_122854.jpg
 
Nasema hiki kila wakati, na ninarudia kusema tena na tena.

Ngoma ya Bakhmut ni nzito, nzito hasa upande wa Russia kuadvance. Wanachokwepa Ukraine ni idadi kubwa ya vifo.

Anachoamini Russia, idadi ya maaskari inakupa ushindi vitani, no matter watakufa wangapi ila ushindi uwepo.

Kuna shortage kubwa ya idadi ya wapiganaji upande wa Russia, kila maeneo waliyoyateka, wamepoteza maaskari wengi.

Wanachofanya wenzie ni kuhakikisha Russia anapoteza Askari wengi zaidi ili ikianza counter offensive ya kurejesha maeneo, wasipate upinzani mkali.

Hii vita kuna wakati utafika Russia ataachia ardhi ya Ukraine kwa kasi ambayo watu hawakuitegemea.
 
Mpaka hivi sasa Wagner wamebakiza eneo la mraba la kilometer 2 tu kwa mujibu wa taarifa yao.

Usiku wa kuamkia leo, Ukraine ilituma drone 22 kwenda kushambulia Crimea,zote zimeshushwa kwa welfare interception. Ukraine bado anataabika pamoja na msaada mkubwa wa NATO na USA
20230507_162840.jpg
 
Mpaka hivi sasa Wagner wamebakiza eneo la mraba la kilometer 2 tu kwa mujibu wa taarifa yao.

Usiku wa kuamkia leo, Ukraine ilituma drone 22 kwenda kushambulia Crimea,zote zimeshushwa kwa welfare interception. Ukraine bado anataabika pamoja na msaada mkubwa wa NATO na USAView attachment 2613748
Mbona hujaandika kombora la herpesonic la Urusi limedunguliwa mifumo ya patriotic na Urusi husema makombora ya herpesonic hayawezi kudunguliwa
 
Counteroffensive inakuja soon hayo maeneo yanarudi mbona
 
Mbona hujaandika kombora la herpesonic la Urusi limedunguliwa mifumo ya patriotic na Urusi husema makombora ya herpesonic hayawezi kudunguliwa
Mkuu kapitie tena vyanzo sahihi na kasome tamko la Mkuu wa operation wa Ukraine alipokanusha kuhusu hypersonic na kukili kua kwa sasa hawana uwezo huo.

Tazama picha hii hapa,picha ya bomu ardhini ambalo halijachimba hata mita moja ndio lililosadikika kwenye propganda ni hypersonic.

Picha za chini yake Ni bomu lenyewe la hypersonic likiwa kwenye ndege,lina uzito wa zaidi ya tani 5. Sasa tafakari bomu la tani 5 likianguka ardhini inakuaje?!.
20230507_214935.jpg

Napandisha na clip ya masambulizi ya juzi usiku kuamkia jana baada ya Wagner kutangaza wataondoka,usiku wake walifanya mashambulizi makubwa sana Bakhmuty. Tafakari kama wamwshindwa ama hali tete kwa Nani!!
 
Nasema hiki kila wakati, na ninarudia kusema tena na tena.

Ngoma ya Bakhmut ni nzito, nzito hasa upande wa Russia kuadvance. Wanachokwepa Ukraine ni idadi kubwa ya vifo.

Anachoamini Russia, idadi ya maaskari inakupa ushindi vitani, no matter watakufa wangapi ila ushindi uwepo.

Kuna shortage kubwa ya idadi ya wapiganaji upande wa Russia, kila maeneo waliyoyateka, wamepoteza maaskari wengi.

Wanachofanya wenzie ni kuhakikisha Russia anapoteza Askari wengi zaidi ili ikianza counter offensive ya kurejesha maeneo, wasipate upinzani mkali.

Hii vita kuna wakati utafika Russia ataachia ardhi ya Ukraine kwa kasi ambayo watu hawakuitegemea.
Masponsa wa Zele nao wanataka matokeo

Kaunta atak ijayo Zele anapaswa kwa namna yoyote afanikiwe ili masponsa wapate hamasa ya kuendelea kuchangia na ukizingatia sponsa mkuu anataka kuyatumia hayo mafanikio ktk kampen za uchaguz ujao
 
Mpaka hivi sasa Wagner wamebakiza eneo la mraba la kilometer 2 tu kwa mujibu wa taarifa yao.

Usiku wa kuamkia leo, Ukraine ilituma drone 22 kwenda kushambulia Crimea,zote zimeshushwa kwa welfare interception. Ukraine bado anataabika pamoja na msaada mkubwa wa NATO na USAView attachment 2613748
Baadae huwa mnazikataa hiz kauli zenu mnaanza kuhoji nan alisema , km ile kauli ya zimebakia km 11 kuingia kyiev kufanya kuwa mission fupi kuwai kutokea , leo mnahoji nan alisema
 
Mkuu kapitie tena vyanzo sahihi na kasome tamko la Mkuu wa operation wa Ukraine alipokanusha kuhusu hypersonic na kukili kua kwa sasa hawana uwezo huo.

Tazama picha hii hapa,picha ya bomu ardhini ambalo halijachimba hata mita moja ndio lililosadikika kwenye propganda ni hypersonic.

Picha za chini yake Ni bomu lenyewe la hypersonic likiwa kwenye ndege,lina uzito wa zaidi ya tani 5. Sasa tafakari bomu la tani 5 likianguka ardhini inakuaje?!.
View attachment 2613817

Napandisha na clip ya masambulizi ya juzi usiku kuamkia jana baada ya Wagner kutangaza wataondoka,usiku wake walifanya mashambulizi makubwa sana Bakhmuty. Tafakari kama wamwshindwa ama hali tete kwa Nani!!
View attachment 2613821
Wakikiri kutofanya basi ni wakweri ila wakikiri kufanya mnaita propaganda na mlianzia kyiev sasa hv mnahangaikia huko mashariki ya nchi na sio kyiev na mnabisha kuwa urusi harudishwi nyuma
 
Nasema hiki kila wakati, na ninarudia kusema tena na tena.

Ngoma ya Bakhmut ni nzito, nzito hasa upande wa Russia kuadvance. Wanachokwepa Ukraine ni idadi kubwa ya vifo.

Anachoamini Russia, idadi ya maaskari inakupa ushindi vitani, no matter watakufa wangapi ila ushindi uwepo.

Kuna shortage kubwa ya idadi ya wapiganaji upande wa Russia, kila maeneo waliyoyateka, wamepoteza maaskari wengi.

Wanachofanya wenzie ni kuhakikisha Russia anapoteza Askari wengi zaidi ili ikianza counter offensive ya kurejesha maeneo, wasipate upinzani mkali.

Hii vita kuna wakati utafika Russia ataachia ardhi ya Ukraine kwa kasi ambayo watu hawakuitegemea.
Amina mtumishi, ubarikiwe mkuu
 
Baadae huwa mnazikataa hiz kauli zenu mnaanza kuhoji nan alisema , km ile kauli ya zimebakia km 11 kuingia kyiev kufanya kuwa mission fupi kuwai kutokea , leo mnahoji nan alisema
Ha ha ha ndo zao hizo mkuu
 
Masponsa wa Zele nao wanataka matokeo

Kaunta atak ijayo Zele anapaswa kwa namna yoyote afanikiwe ili masponsa wapate hamasa ya kuendelea kuchangia na ukizingatia sponsa mkuu anataka kuyatumia hayo mafanikio ktk kampen za uchaguz ujao
Sidhani kama ni kweli mkuu, US ni kitu kingine. System zinaendesha nchi, hata kama leo Biden hayupo, huyo ajaye atafanya kile ambacho kipo mezani.
 
Back
Top Bottom