WAGNER PMC kuendelea na Vita Ukraine!

WAGNER PMC kuendelea na Vita Ukraine!

Nasema hiki kila wakati, na ninarudia kusema tena na tena.

Ngoma ya Bakhmut ni nzito, nzito hasa upande wa Russia kuadvance. Wanachokwepa Ukraine ni idadi kubwa ya vifo.

Anachoamini Russia, idadi ya maaskari inakupa ushindi vitani, no matter watakufa wangapi ila ushindi uwepo.

Kuna shortage kubwa ya idadi ya wapiganaji upande wa Russia, kila maeneo waliyoyateka, wamepoteza maaskari wengi.

Wanachofanya wenzie ni kuhakikisha Russia anapoteza Askari wengi zaidi ili ikianza counter offensive ya kurejesha maeneo, wasipate upinzani mkali.

Hii vita kuna wakati utafika Russia ataachia ardhi ya Ukraine kwa kasi ambayo watu hawakuitegemea.
Uchambuzi uchwara wewe uko Buza unachambua habari za Bakhmut 🤣🤣🤣
 
Sikutegema Putin aachie hawa waondoke maana ndio wanatumika kama mizoga ya kupunguza vifo vya wanajeshi wa Urusi ambao kufikia sasa wamekufa 193,000
 
Prigozhin ni mtu wa propaganda sana haaminiki hata kidogo
Na zile maiti alizokuwa akizionyesha nazo ni propaganda?mambo mengine jamani?!!ule ndio ukweli halisi,yeye anapigana vita ya ardhini,tu hayo majeshi ya Urusi ndio yanatumia ndege!!sasa kwenye huo mji toka waingie hapo ni miezi sasa!!lakini bado kuna upinzani mkubwa,yeye anapewa silaha kwa mafungu,anaona kama ana salitiwa kumbe mahesabu yameshaanza kukataa,silaha zinaisha!!
 
Nasema hiki kila wakati, na ninarudia kusema tena na tena.

Ngoma ya Bakhmut ni nzito, nzito hasa upande wa Russia kuadvance. Wanachokwepa Ukraine ni idadi kubwa ya vifo.

Anachoamini Russia, idadi ya maaskari inakupa ushindi vitani, no matter watakufa wangapi ila ushindi uwepo.

Kuna shortage kubwa ya idadi ya wapiganaji upande wa Russia, kila maeneo waliyoyateka, wamepoteza maaskari wengi.

Wanachofanya wenzie ni kuhakikisha Russia anapoteza Askari wengi zaidi ili ikianza counter offensive ya kurejesha maeneo, wasipate upinzani mkali.

Hii vita kuna wakati utafika Russia ataachia ardhi ya Ukraine kwa kasi ambayo watu hawakuitegemea.
Hujui lolote....!!!...nimetoka kusoma mahojiano ya General wa Jeshi la Marekani...ambae kwa sasa ni mmoja wa Makamanda wa NATO...yuko hapo Romania na vikosi vya NATO....akihojiwa na US SENATE...ktk moja ya maelezo yake anasema...Jeshi la Russia upande wa ... Airforce, Navy na Strategic Forces hayajaathirika kabisa na hii ongoing SMO....yaani Majeshi hayo hayajatumika kabisa...na vilevile analieleza Bunge la Seneti kwamba....kutokana na hii SMO jeshi la Russia limeongezeka ukubwa..., in terms of Active Personels and Modern Equipments...na zaidi haraka sana wamesahihisha makosa na mapungufu mengi yaliyoonekana mwanzoni...!!!.. na kwamba muda unavyozidi kwenda ndio RF inazidi kuimarika kuliko ilivyokuwa awali...(huyo ni 4 Star General wa US...na Senior NATO kamanda anasema hivyo mbele ya US Seneti....,,, haya ww ni nani unaeongea hivi)

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Sikutegema Putin aachie hawa waondoke maana ndio wanatumika kama mizoga ya kupunguza vifo vya wanajeshi wa Urusi ambao kufikia sasa wamekufa 193,000

Hivi wewe ni mnzima kweli? Unatetea ushenzi wa wahalifu wa dunia juu ya ukraine and against russia? Wewe sio mzima na kama mnzima unalipwa
 
Hujui lolote....!!!...nimetoka kusoma mahojiano ya General wa Jeshi la Marekani...ambae kwa sasa ni mmoja wa Makamanda wa NATO...yuko hapo Romania na vikosi vya NATO....akihojiwa na US SENATE...ktk moja ya maelezo yake anasema...Jeshi la Russia upande wa ... Airforce, Navy na Strategic Forces hayajaathirika kabisa na hii ongoing SMO....yaani Majeshi hayo hayajatumika kabisa...na vilevile analieleza Bunge la Seneti kwamba....kutokana na hii SMO jeshi la Russia limeongezeka ukubwa..., in terms of Active Personels and Modern Equipments...na zaidi haraka sana wamesahihisha makosa na mapungufu mengi yaliyoonekana mwanzoni...!!!.. na kwamba muda unavyozidi kwenda ndio RF inazidi kuimarika kuliko ilivyokuwa awali...(huyo ni 4 Star General wa US...na Senior NATO kamanda anasema hivyo mbele ya US Seneti....,,, haya ww ni nani unaeongea hivi)

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Huyo General alikuwa yupo Jupiter wakati Moskova inalambishwa mchanga? Yaani ndege vita na helicopter zinadunguliwa yeye analeta kejeli?

Au ulikuwa unaangalia ze comedy?
 
Hivi wewe ni mnzima kweli? Unatetea ushenzi wa wahalifu wa dunia juu ya ukraine and against russia? Wewe sio mzima na kama mnzima unalipwa

Wewe huna akili au zimeshikiliwa namna makobaz wote huwa mumeshikiliwa ubongo...
 
Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine.

Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na uhaba wa silaha!View attachment 2613110
Tamko alilotoa Kamanda ni mtego tu ili waukrain wajichanganye wakijua siraha zimeisha
 
Mpaka hivi sasa Wagner wamebakiza eneo la mraba la kilometer 2 tu kwa mujibu wa taarifa yao.

Usiku wa kuamkia leo, Ukraine ilituma drone 22 kwenda kushambulia Crimea,zote zimeshushwa kwa welfare interception. Ukraine bado anataabika pamoja na msaada mkubwa wa NATO na USAView attachment 2613748
He ivi wewe umeamkia yale mambo yetu nin leo? Kilometer 2 mkuu unaijua lakini hiyo distance? sasa hivyo vikosi vitakaaje kwenye hilo eneo? upande huu na huu manake kilomita mbili ata ukimuita mtu anakusikia na kukuitikia., usilete habari za uongo hapa kwa kila unavyojisikia

Wagner wametishia kujitoa kwenye vita kwa sababu ya kuuliwa na hawana silaha unadhani ni kaeneo hilo tu la 2km?? jiongeze ukiambiwa, Urusi amechemka sana tokea alivyotangaza kuichukua Bakhmuti mpaka leo ana strugle upande wa magharibi pembezoni, Ukrean vita wameijuulia hasaa na wanawauwa wale Wagner kwa siku zaidi ya 1000
 
Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine.

Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na uhaba wa silaha!View attachment 2613110
Mtoto akitaka wembe mpe, hawa wanaenda kumalizwa tu maana hakuna namna
 
Mpaka hivi sasa Wagner wamebakiza eneo la mraba la kilometer 2 tu kwa mujibu wa taarifa yao.

Usiku wa kuamkia leo, Ukraine ilituma drone 22 kwenda kushambulia Crimea,zote zimeshushwa kwa welfare interception. Ukraine bado anataabika pamoja na msaada mkubwa wa NATO na USAView attachment 2613748
Pia jana shehena ya silaha toka nato imekaangwa zikisafirishwa na reli[emoji1]
 
Na zile maiti alizokuwa akizionyesha nazo ni propaganda?mambo mengine jamani?!!ule ndio ukweli halisi,yeye anapigana vita ya ardhini,tu hayo majeshi ya Urusi ndio yanatumia ndege!!sasa kwenye huo mji toka waingie hapo ni miezi sasa!!lakini bado kuna upinzani mkubwa,yeye anapewa silaha kwa mafungu,anaona kama ana salitiwa kumbe mahesabu yameshaanza kukataa,silaha zinaisha!!
Russia inaonewa, twendeni tukawasaidie.
 
Habari za hivi punde ni kua mmiliki wa WAGNER PMC amesema ameahidiwa na serikali ya Urusi (Shoigu) kupatiwa silaha kadri atakavyo na wataendelea na operation zao za kijeshi nchini Ukraine.

Haya yanajiri baada ya hivi karibuni bwana Prigozhin kutoa tamko la kuondoa wanajeshi wake kutokana na uhaba wa silaha!View attachment 2613110
Hili lijamaa la Wagner Group litakuja kuwa li Daqalo lijalo la Urusi. Nimekaa pale Kijiji cha Katerero karibu na Mto Ngono nawasubiri Warusi wa Kanyangereko!!!!
 
Nasema hiki kila wakati, na ninarudia kusema tena na tena.

Ngoma ya Bakhmut ni nzito, nzito hasa upande wa Russia kuadvance. Wanachokwepa Ukraine ni idadi kubwa ya vifo.

Anachoamini Russia, idadi ya maaskari inakupa ushindi vitani, no matter watakufa wangapi ila ushindi uwepo.

Kuna shortage kubwa ya idadi ya wapiganaji upande wa Russia, kila maeneo waliyoyateka, wamepoteza maaskari wengi.

Wanachofanya wenzie ni kuhakikisha Russia anapoteza Askari wengi zaidi ili ikianza counter offensive ya kurejesha maeneo, wasipate upinzani mkali.

Hii vita kuna wakati utafika Russia ataachia ardhi ya Ukraine kwa kasi ambayo watu hawakuitegemea.
Ni ramli tu hizo... ukweli anao Zelensky na mara nyingi ameongea... ukiwa mbali vita ni rahisi sana, pale Bakhmut wanajeshi wa Ukraine hawakukimbia bure.
 
Back
Top Bottom