Hujui lolote....!!!...nimetoka kusoma mahojiano ya General wa Jeshi la Marekani...ambae kwa sasa ni mmoja wa Makamanda wa NATO...yuko hapo Romania na vikosi vya NATO....akihojiwa na US SENATE...ktk moja ya maelezo yake anasema...Jeshi la Russia upande wa ... Airforce, Navy na Strategic Forces hayajaathirika kabisa na hii ongoing SMO....yaani Majeshi hayo hayajatumika kabisa...na vilevile analieleza Bunge la Seneti kwamba....kutokana na hii SMO jeshi la Russia limeongezeka ukubwa..., in terms of Active Personels and Modern Equipments...na zaidi haraka sana wamesahihisha makosa na mapungufu mengi yaliyoonekana mwanzoni...!!!.. na kwamba muda unavyozidi kwenda ndio RF inazidi kuimarika kuliko ilivyokuwa awali...(huyo ni 4 Star General wa US...na Senior NATO kamanda anasema hivyo mbele ya US Seneti....,,, haya ww ni nani unaeongea hivi)
Sent from my SM-A217F using
JamiiForums mobile app