Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.
Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======
View attachment 2634991View attachment 2635005
Uzuri hayupo ukraine peke yake..... Baaas.... Russia sio Zimbabwe wala Iraq na Libyahehehe kichwa cha habari nikadhani wanajeshi, kumbe msataafu, hao wastaafu ndio wamesaidia hadi sasa Bakhmut imeshindikana mpaka hawa Wagner wameamua kuikimbia baada ya kujitangazia ushindi.....ni mwendo wa takbirrrr
za wanadamu wenzako kufa?Habari nipendazo kuzisikia
Yule mtanzania tarimo bado familia yake haijalipwa fidia na WagnerKiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.
Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======
View attachment 2634991View attachment 2635005
Yule mtanzania tarimo bado familia yake haijalipwa fidia na Wagner
Mkuu, kwani huyo mwanajeshi wa ๐บ๐ธ ๐บ๐ธ ๐บ๐ธ Special forces hizo silaha alizovaa/beba zilikuwa ni kwa ajili ya kuua tumbili au watu?za wanadamu wenzako kufa?
Kabla ya kufurahi huwa najaribu kuwaza wafiwa hali wanayopitia dah inauma mno
Wangekuwa wanakufa akina Biden, Putin, Zelensky na wanasiasa wanaosababisha hali hii ingekuwa fresh kabisa
Ovyo sana huyu, hao ni wanajeshi wachache waliojitolea wenyewe kwa hiari zao kupigana upande wa Ukraine na wapo raia na wanajeshi kutoka mataifa mbali mbali duniani ambao kwa huruma zao tu wameona wasaidie upande wa Ukraine sio kwamba ni Wanajeshi waliotumwa na NATO makhsusi.Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.
Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======
View attachment 2634991View attachment 2635005
He mkuu mwanajeshi 1 mstaafu ambaye alijitolea tu kwa hiari yake, unajuwa yeye ashauwa Wagner wangapi huko bakhmut??Hii Vita NATO kadundwa sana
Yeye kauw wangapi? 22,000? auSpecial force amefyekwa na KK security
Kama kaua Wagner wangapi, atukabidhi maiti zetu[emoji1]He mkuu mwanajeshi 1 mstaafu ambaye alijitolea tu kwa hiari yake, unajuwa yeye ashauwa Wagner wangapi huko bakhmut??