Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

Tayari mkuu..usijipendekeze kuomba salio, wale ni wachaga utaambiwa hawajapewa kitu zaidi ya rambirambi
Bado hawajapewa mkuu ni kama wagner imewapotezea,afu alikua jela urusi kabla ya kwenda frontline so issue ya mafao naona ndio maana inalegalega.
 
Ile Miili ya wapiganaji wake 50,000 anamkabidhi nani?
 
Niite wagner niiitie wagner nasema niiitie wagner

Hao hawana lolote wamekimbia mapambano, sisi tunaendelea huku...

Hao hawana lolote wamekimbia mapambano, sisi tunaendelea huku...

Nasema niitie wagner...... Imebaki tu kuwapa madini congo wawafurumushe vibaraka wa tapeli la dunia
 
Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.

Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======

View attachment 2634991View attachment 2635005
MK254 njoo huku mchukue mizoga yenu
 
Mbona ni mtu mmoja tena mstaafu?!
 
hehehe kichwa cha habari nikadhani wanajeshi, kumbe msataafu, hao wastaafu ndio wamesaidia hadi sasa Bakhmut imeshindikana mpaka hawa Wagner wameamua kuikimbia baada ya kujitangazia ushindi.....ni mwendo wa takbirrrr
Unaposikia neno mstaafu kwa USA usikimbilie kufikiria labda ni mtu wa miaka 60 huko..anaweza kuwa kijana kabisa na akaitwa mstaafu.....

Kwa mfano kuna mtanzania huko youtube anaitwa EBM scholars.... Ni mwanajeshi mstaafu wa marekani na alistaafu akiwa hata hajafika miaka 35.

Kule Usishangae ukamkuta kijana wa miaka 30 na ni mstaafu jeshini...
 
Ndio wajue Urusi Hapigani na Ukrein
Anapigana na Mataifa 30+
na Bado wana hanya
Mwaka 1961 tulipata uhuru leo tunashabikia taifa linalotaka kukandamiza uhuru , Trump alisema bado waafrika hawajakomaa kiakili so wanaitajika kutawaliwa tena ili wajue ugumu wa kupata uhuru tofauti na ule tulipewa mkonon ndio maana hatuna uchungu tuonapo taifa moja linataka kupokonya uhuru wa taifa jingine

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kama hujui lolote funga komwe hilo, kipindi Hao baba zako marekani wanavamia Libya na Iraq hayakuwa mataifa huru...!?
 
I thought Russia was fighting against tiny Ukraine?
Kakodi kampuni ya ulinzi ya Wagner kupigania nchi ya Urusi kwa malipo

Serikali ya Tanzania isipeleke tena wanajeshi wa Tanzania kusoma mambo ya kijeshi Urusi kama ilikuwa inapeleka iwapeleke nchi za NATO au Ukraine huko au Marekani na vifaa wachukue huko.vya kivita kama walikuwa wakichukua Urusi wasichukue huko

Sijui walikuwa wakipeleka Askari mafunzo wapi au silaha walikuwa wanachukua wapi waangalie nchi tu za NATO, Marekani na Ukraine
 
Back
Top Bottom