Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Siku hizi nyama ni za kusaga zinachanganywa kwenye mtori. Hakuna nyama huko chini.Tuendelee kula mtori,nyama tutazikuta chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi nyama ni za kusaga zinachanganywa kwenye mtori. Hakuna nyama huko chini.Tuendelee kula mtori,nyama tutazikuta chini
Wewe ni pro-nato bila ubishiza wanadamu wenzako kufa?
Kabla ya kufurahi huwa najaribu kuwaza wafiwa hali wanayopitia dah inauma mno
Wangekuwa wanakufa akina Biden, Putin, Zelensky na wanasiasa wanaosababisha hali hii ingekuwa fresh kabisa
Tayari mkuu..usijipendekeze kuomba salio, wale ni wachaga utaambiwa hawajapewa kitu zaidi ya rambirambiYule mtanzania tarimo bado familia yake haijalipwa fidia na Wagner
🤣I thought Russia was fighting against tiny Ukraine?
Kama kaua Wagner wangapi, atukabidhi maiti zetu[emoji1]
Uzuri hayupo ukraine peke yake..... Baaas.... Russia sio Zimbabwe wala Iraq na Libya
Tarimo bro wa kitaa nisharoll nae sana NIT mabibo....We umejuaje mambo hayo .wataka wakutangazie ili ukawakope au
Niite wagner niiitie wagner nasema niiitie wagnerSasa hapo ndio umesema nini, majihad mna shida sana.
Bado hawajapewa mkuu ni kama wagner imewapotezea,afu alikua jela urusi kabla ya kwenda frontline so issue ya mafao naona ndio maana inalegalega.Tayari mkuu..usijipendekeze kuomba salio, wale ni wachaga utaambiwa hawajapewa kitu zaidi ya rambirambi
Niite wagner niiitie wagner nasema niiitie wagner
Nasema niitie wagner...... Imebaki tu kuwapa madini congo wawafurumushe vibaraka wa tapeli la duniaHao hawana lolote wamekimbia mapambano, sisi tunaendelea huku...
Mapambano Bakhmut yanaendelea, licha ya Wagner kutafuta pakutokea kwa kujitangazia ushindi
Vita vimechacha Bakhmut, wanajeshi wa Ukraine wanaendelea kupeleka moto huku Wagner wakiharakisha kutoka baada ya kujitangazia ushindi.......wanajeshi wa Urusi watachinjwa sana maana waliokolewa na "mizoga" ya Wagner ambao walikua wanakufa kama chambo. ========================== On 25 May, on...www.jamiiforums.com
MK254 njoo huku mchukue mizoga yenuKiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.
Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======
View attachment 2634991View attachment 2635005
Mbona ni mtu mmoja tena mstaafu?!Kiongozi wa Wagner amesema zoezi la kumkabidhi Biden mabaki ya miili ya wanajeshi wa Marekani waliouawa wakiipigania Bakhmut isikombolewe limeanza. Katika mchakato huo, ameanza na mabaki ya mwili wa Nikolas Maimer, mwanajeshi wa Marekani wa Special forces aliyeuliwa na Wagner huko Bakhmut akipigana upande wa Ukraine.
Salamu za rambirambi zimfikie MK254
=======
View attachment 2634991View attachment 2635005
MK254 njoo huku mchukue mizoga yenu
Yaani ata mimi nilikuja speed kupokea askali waliojitolea, kufika naambiwa ni mstaafu 😅😅😅....Mbona ni mtu mmoja tena mstaafu?!
Unaposikia neno mstaafu kwa USA usikimbilie kufikiria labda ni mtu wa miaka 60 huko..anaweza kuwa kijana kabisa na akaitwa mstaafu.....hehehe kichwa cha habari nikadhani wanajeshi, kumbe msataafu, hao wastaafu ndio wamesaidia hadi sasa Bakhmut imeshindikana mpaka hawa Wagner wameamua kuikimbia baada ya kujitangazia ushindi.....ni mwendo wa takbirrrr
Mwaka 1961 tulipata uhuru leo tunashabikia taifa linalotaka kukandamiza uhuru , Trump alisema bado waafrika hawajakomaa kiakili so wanaitajika kutawaliwa tena ili wajue ugumu wa kupata uhuru tofauti na ule tulipewa mkonon ndio maana hatuna uchungu tuonapo taifa moja linataka kupokonya uhuru wa taifa jingineNdio wajue Urusi Hapigani na Ukrein
Anapigana na Mataifa 30+
na Bado wana hanya
Wewe kama hujui lolote funga komwe hilo, kipindi Hao baba zako marekani wanavamia Libya na Iraq hayakuwa mataifa huru...!?Mwaka 1961 tulipata uhuru leo tunashabikia taifa linalotaka kukandamiza uhuru , Trump alisema bado waafrika hawajakomaa kiakili so wanaitajika kutawaliwa tena ili wajue ugumu wa kupata uhuru tofauti na ule tulipewa mkonon ndio maana hatuna uchungu tuonapo taifa moja linataka kupokonya uhuru wa taifa jingine
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
Kakodi kampuni ya ulinzi ya Wagner kupigania nchi ya Urusi kwa malipoI thought Russia was fighting against tiny Ukraine?