Wagner: Tumeanza kukabidhi miili ya wanajeshi wa USA tuliowaua kwenye mapigano ya Bakhmut

Tangu naingia JF sijakutana na pumba kama hii, ni leo na sidhani kama itajirudia.
 
Tangu naingia JF sijakutana na pumba kama hii, ni leo na sidhani kama itajirudia.
Maoni yako una uhuru nayo ni haki yako ya kidemokrasia kuona Pumba au pointi inategemea macho yako yakivyo na huko.ulikozaliwa kuna mtu waweza mwita cheusi kumbe kwao kuna weusi hatari akipita watu kijijini Humwita cheupe.au waweza kukutana na mtu mrefu huyo kwa mtizamo wako finyu ukamwita TALL kumbe kwao kuna warefu hatari kumzidi akipita wanasema Short huyo anakuja

Mtizamo wako siupingi ni wako na hilo bichwa lako ni haki yako ya kidemokrasia kusema chochote kinachokujilia kwenye hilo bichwa lako
 
Ko wewe una akili kuliko wote wanao peleka watu wao Russia kwa training si ndio, Watu sampuli ya wewe ni hasara kabisa.
Anyway sio mtu wa kubishania ujinga sitakujibu tena.
 

Haijalishi hata kama wa miaka 30 ila huyo kasababisha Bakhmut ishindikane Mapambano Bakhmut yanaendelea, licha ya Wagner kutafuta pakutokea kwa kujitangazia ushindi
 
Kumbe ni retired bas sawa.
 
 
Na huo ndio ukweli
 
Bado hawajapewa mkuu ni kama wagner imewapotezea,afu alikua jela urusi kabla ya kwenda frontline so issue ya mafao naona ndio maana inalegalega.
Wamepewa mkuu...naijua ile familia ya Tarimo, ndio maana unaona hawataki kabisa kuzungumzia kwenye media..kuhusu chochote.
 
Weee jamaa nlikua nafikiri ni bonge la thinker....kuuumbe...( empty set )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…