kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Masikini Putin [emoji848][emoji848][emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrusi wa Kwa limboa huyooo Sasa kiongozi wao kasema sisi akina kalikinya hatutaki aiseeHahahah endeleeni kujifariji, hio inaitwa "BOYALIZING" Tactic hii bwana ni kumpumbaza mpinzani wako ahisi umetepeta kumbe lengo ni kumpelekea moto zaidi.
Kama anapata kwann ashindwe kuuteka mji mdogo kama huo!??Yalivyo majinga hayajifunzi!Sio mara ya kwanza huyo Jamaa kutoa kauli kama hiyo,wakisogeza pua wanashughulikiwa!
Alisema pia siraha walizokamata Bakhamut wanaweza wakazigawa Kwa watu zaidi ya Million Moja.Mrusi wa Kwa limboa huyooo Sasa kiongozi wao kasema sisi akina kalikinya hatutaki aisee
Kama hapati,kwanini Ukraine wameshindwa kuukomboa mji Huo na asilimia kubwa Iko Kwa Wagner?Kama anapata kwann ashindwe kuuteka mji mdogo kama huo!??