kp kipanya44 JF-Expert Member Joined Jun 23, 2022 Posts 12,971 Reaction score 15,248 May 1, 2023 #21 Masikini Putin [emoji848][emoji848][emoji848] Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Masikini Putin [emoji848][emoji848][emoji848] Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
R roadmaster JF-Expert Member Joined Mar 21, 2023 Posts 1,609 Reaction score 2,751 May 2, 2023 #22 Extrovert said: Hahahah endeleeni kujifariji, hio inaitwa "BOYALIZING" Tactic hii bwana ni kumpumbaza mpinzani wako ahisi umetepeta kumbe lengo ni kumpelekea moto zaidi. Click to expand... Mrusi wa Kwa limboa huyooo Sasa kiongozi wao kasema sisi akina kalikinya hatutaki aisee
Extrovert said: Hahahah endeleeni kujifariji, hio inaitwa "BOYALIZING" Tactic hii bwana ni kumpumbaza mpinzani wako ahisi umetepeta kumbe lengo ni kumpelekea moto zaidi. Click to expand... Mrusi wa Kwa limboa huyooo Sasa kiongozi wao kasema sisi akina kalikinya hatutaki aisee
R roadmaster JF-Expert Member Joined Mar 21, 2023 Posts 1,609 Reaction score 2,751 May 2, 2023 #23 Bome-e said: Yalivyo majinga hayajifunzi!Sio mara ya kwanza huyo Jamaa kutoa kauli kama hiyo,wakisogeza pua wanashughulikiwa! Click to expand... Kama anapata kwann ashindwe kuuteka mji mdogo kama huo!??
Bome-e said: Yalivyo majinga hayajifunzi!Sio mara ya kwanza huyo Jamaa kutoa kauli kama hiyo,wakisogeza pua wanashughulikiwa! Click to expand... Kama anapata kwann ashindwe kuuteka mji mdogo kama huo!??
RUSTEM PASHA JF-Expert Member Joined Jan 26, 2016 Posts 4,707 Reaction score 11,365 May 2, 2023 #24 roadmaster said: Mrusi wa Kwa limboa huyooo Sasa kiongozi wao kasema sisi akina kalikinya hatutaki aisee Click to expand... Alisema pia siraha walizokamata Bakhamut wanaweza wakazigawa Kwa watu zaidi ya Million Moja.
roadmaster said: Mrusi wa Kwa limboa huyooo Sasa kiongozi wao kasema sisi akina kalikinya hatutaki aisee Click to expand... Alisema pia siraha walizokamata Bakhamut wanaweza wakazigawa Kwa watu zaidi ya Million Moja.
Myahudi Jr II JF-Expert Member Joined Jan 7, 2016 Posts 6,816 Reaction score 8,809 May 2, 2023 #25 Naona baba yupo Home baada ya droo ya 2_2 Wegner naona yupo ugenini sasa
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 May 2, 2023 #26 roadmaster said: Kama anapata kwann ashindwe kuuteka mji mdogo kama huo!?? Click to expand... Kama hapati,kwanini Ukraine wameshindwa kuukomboa mji Huo na asilimia kubwa Iko Kwa Wagner?
roadmaster said: Kama anapata kwann ashindwe kuuteka mji mdogo kama huo!?? Click to expand... Kama hapati,kwanini Ukraine wameshindwa kuukomboa mji Huo na asilimia kubwa Iko Kwa Wagner?