Uchaguzi 2020 Wagomba Urais CHADEMA hawana mvuto?. CHADEMA inakosa Mvuto?

Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.

Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?

Ni chama ana watia nia wenyewe?.

Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.

Naombeni ufafanuzi tafadhari.
Cdm inavyowaogopesha, unatetemeka mpk unashindwa andika kiufasaha[emoji16]
 
Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.

Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?

Ni chama ana watia nia wenyewe?.

Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.

Naombeni ufafanuzi tafadhari.
Wapo wengi walioshinda uchaguzi bara na visiwani lakini wakapigwa vikumbo.
YOUR VOTE IS NOT YOUR RIGHT.
 
Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.
Membe anategemea kutia nia karibuni.
Kasema katiba yenu bado inamruhusu kama mwanaCCM, kuomba kuwa mgombea Urais kupitia huko.
kwa heshima na taadhima kanywe maji upumzike, MNAE.
 
Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.

Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?

Ni chama ana watia nia wenyewe?.

Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.

Naombeni ufafanuzi tafadhari.
kwahiyo wewe sio raia?
 
Back
Top Bottom