Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cdm inavyowaogopesha, unatetemeka mpk unashindwa andika kiufasaha[emoji16]Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.
Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?
Ni chama ana watia nia wenyewe?.
Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.
Naombeni ufafanuzi tafadhari.
Wapo wengi walioshinda uchaguzi bara na visiwani lakini wakapigwa vikumbo.Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.
Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?
Ni chama ana watia nia wenyewe?.
Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.
Naombeni ufafanuzi tafadhari.
Membe anategemea kutia nia karibuni.Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.
kwahiyo wewe sio raia?Napita pita kitaa sioni hata raia hata mmoja akiwajadili hawa watia nia ya Urais kwenye chama cha CHADEMA. Nini shida?.
Hata huku kwenye makundi ya Social Media kuko kimya sana. Nini shida?
Ni chama ana watia nia wenyewe?.
Naamini pia kwamba Membe akitia nia CHADEMA kinaweza kikapata nguvu.
Naombeni ufafanuzi tafadhari.