Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020?

Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
MWENDAZAKE ALIFANYA UTEUZI WA WABUNGE MPAKA KINA HALIMA MDEE na Wenzake ndio maana CCM inahangaika nao MAHAKAMANI kulinda UTEUZI wao
 
Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
Alimtoa mkewe kafara na kusababisha wagombea wengine kuingiwa na maruwe ruwe kisha kushindwa kwenda kurudisha fomu.
 
Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020?

Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
ni mbumbumbu tu ulimwengu upo huku ndiye atapanga foleni 2025 ati kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kama hakutakuwa na mabadiliko ya Katiba na sheria zake pamoja na Tume huru ya uchaguzi.
 
Yule mwehu aka kichaa alifanya uchafuzi 2020 akaleta aibu kubwa. Mkurugenzi nikupe gari, nyumba, mshahara halafu unitangazie mpinzani ameshinda! Yule alikuwa punguani kabisa, alienda kinyume na katiba! Mungu ni mwema!
Lawama zote kwa kichaa Nyerere yule pimbi katuharibia sana nchi. Yeye na Magu wafikwe motoni.
 
Posho nzuri
Mimi kila siku huwa nasema humu, wengine wanafikiri huwa naimba TAARABU 😂😂😂

Jamani mjitahidi kuwaheshimu walio WATANGULIA, kwa sababu hamtapungukiwa na kitu chochote zaidi ya kupata WASAA wa kujifunza.
Na pensheni 400m TZS
Hapo umesahau NYUMBA ni BURE! GHARAMA ZA MATIBU ni BURE na WATOTO wanakwenda SHULE.
 
Back
Top Bottom