Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

Zitto Kabwe na ACT wana msemao wao wa kula muwa huku unatembea[emoji1787]
ni mbumbumbu tu ulimwengu upo huku ndiye atapanga foleni 2025 ati kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kama hakutakuwa na mabadiliko ya Katiba na sheria zake pamoja na Tume huru ya uchaguzi.
 
Zitto Kabwe na ACT wana msemao wao wa kula muwa huku unatembea
emoji1787.png
Hivi KIBAJAJI huwa yupo humu JAMIIFORUMS? Maana huu uzi unamuhusu 😂😂😂
 
Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020?

Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
2020 ilikuwa mwaka wa shetani
 
2025 kupitia bila kupingwa Tena mpaka kieleweke
 
Huo nchi ina sheria za ovyo za uchaguzi sijawahi ona duuuh.Yaani wagombea wengine wazuiwe kugombea kwa kuwekewa figisu simply mgombea wa chama tawala apate uongozi through kamseleleko.Tuombe mama Samia usiwasikilize wahafidhina wa sisiyemu ambao wangependa kilichotokea 2020 kitokee tena tukapata tena viongozi wa kuchaguliwa ambao si machaguo ya wananchi
 
Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020?

Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
Wacha ujinga. Unapoomba kura ili uwe Mbunge wa Jimbo mathalani la Makambako, siyo kazi yako kutafuta mpinzani. Kama wapo watakuja, kama hawapo hawatakuja. Kwa nini tupoteze hela ya Umma kupigia hewa? Kama mtu hanitaki si angejitokeza awe Mbunge yeye?
 
Safi kabisa Chawa Mwandamizi
 
Wagombea wote wapite bila kupingwa
 
uzuri kitaifa ilifanikiwa ...nadhani now itarudi ndani ya chama ..watapitishwa watu bila kupingwa (mpasuko mkubwa utatokea)..na kitakua chanzo cha mabadiliko
 
Wacha ujinga. Unapoomba kura ili uwe Mbunge wa Jimbo mathalani la Makambako, siyo kazi yako kutafuta mpinzani. Kama wapo watakuja, kama hawapo hawatakuja. Kwa nini tupoteze hela ya Umma kupigia hewa? Kama mtu hanitaki si angejitokeza awe Mbunge yeye?
Mfano wa kijinga mno huu[emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom