Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Mambo ya kishenzi snTutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020?
Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
ni mbumbumbu tu ulimwengu upo huku ndiye atapanga foleni 2025 ati kuchagua Rais, Mbunge na Diwani kama hakutakuwa na mabadiliko ya Katiba na sheria zake pamoja na Tume huru ya uchaguzi.
Hivi KIBAJAJI huwa yupo humu JAMIIFORUMS? Maana huu uzi unamuhusu 😂😂😂Zitto Kabwe na ACT wana msemao wao wa kula muwa huku unatembea
Yupo MbinguniYuko mbinguni au yuko kuzimu anaongoza mizimu?
2020 ilikuwa mwaka wa shetaniTutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020?
Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
Yupo Mbinguni
Wacha ujinga. Unapoomba kura ili uwe Mbunge wa Jimbo mathalani la Makambako, siyo kazi yako kutafuta mpinzani. Kama wapo watakuja, kama hawapo hawatakuja. Kwa nini tupoteze hela ya Umma kupigia hewa? Kama mtu hanitaki si angejitokeza awe Mbunge yeye?Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020?
Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
Safi kabisa Chawa MwandamiziWacha ujinga. Unapoomba kura ili uwe Mbunge wa Jimbo mathalani la Makambako, siyo kazi yako kutafuta mpinzani. Kama wapo watakuja, kama hawapo hawatakuja. Kwa nini tupoteze hela ya Umma kupigia hewa? Kama mtu hanitaki si angejitokeza awe Mbunge yeye?
Mfano wa kijinga mno huu[emoji134][emoji134][emoji134]Wacha ujinga. Unapoomba kura ili uwe Mbunge wa Jimbo mathalani la Makambako, siyo kazi yako kutafuta mpinzani. Kama wapo watakuja, kama hawapo hawatakuja. Kwa nini tupoteze hela ya Umma kupigia hewa? Kama mtu hanitaki si angejitokeza awe Mbunge yeye?