Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,385
Tusiposhiriki uchaguzi hatutapata hata mtu mmoja wa kutusemea. Wakati wa ukoloni wa Waingereza, wakombozi wetu walishiriki uchaguzi wakaingia bunge la wakati ule. Wakatusemea. Ikifika mahali ikabidi kuacha kabisa kushiriki itamaanisha imebaki option ya kupigana tu basi. Hatupendi hilo.Kwa nini mnashiriki uchaguzi basi? Wanasaccos lazima mtakuwa na matatizo ya kiakili kama mgombea wenu wa urais.