Uchaguzi 2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

Uchaguzi 2020 Wagombea CCM wakwama kufanya kampeni

Trend la madhara ya mtu na mjomba wake kushikilia fuko la fedha kumbe pia ipo CCM Makao Makuu wanaenda kwa mtindo huo pia ndani ya chama ambapo "wakuja CCM" wameshikilia mapesa na maamuzi yote huku wakiwasahau wenye chama halisi majimboni.

Ukata kila sehemu , Jumuiya ya Wazazi CCM yadai tatizo ni mfumo wa CCM Mpya
Na lawama wazipeleka kwa waliomuita mwenye "Jumuiya hii ya Wazazi" ni John Magufuli na Katibu Mkuu Bashiru Ally Kakurwa, Viongozi wa Wazazi wakataa kubeba Msalaba wa viongozi hawa wakuu wa CCM Mpya

 
Duniani wapumbavu wapi wengi sana!
Eti anasema wanainchi hawataki maendeleo vitu,huu ni uzwazwa,ni uzandiki.
Kujenga hospitali,miundo mbinu,kuboresha miundo mbinu ya shule,elimu bila malipo kwa wanafunzi,kuboresha usafiri wa makini kwenye maziwa ili kurahisha usafiri pamoja mizigo kwa wananchi,miladi mikubwa ya kimkakati kama bwawa la nyerere lenye kuzalisha megawatt 2100 n.k halafu chizi kama ww linalopoka ovyoovyo tu.
Unahisi haya yote hayana faida kwa jamii?
Ndgu usifuate mkumbo,fikiria kabla ya kunena...Kuna mengi Sana yaliyofanyika ili kumurahisishia mwananchi.
Kama hakuna uhuru na haki hayo mengine yote na zaidi ya hayo unayoyaeleza ni upuuzi
 
Humphrey Polepole ataka wagombea / viongozi kuwa wazalendo wasijali fedha bali wakitetee chama na John Magufuli, wagombea wa CCM waelewe waTanzania ni masikini hivyo wajikite kubuni na kuwasaidia watu watoke kwenye lindi la umasikini mkubwa

 
Mimi sina chama ila nikiangalia CCM inapendwa sana
@Bwana Jela, kukiri tu kwamba wewe in mwana CCM unaongopa na mko wengi, hauko peke yako. Je unajua ni kwa sababu gani? Unafiki. Unadai kwamba si kweli watu wametekwa, kuteswa na kuumizwa na ukatili wa awamu hii, unamdanganya nani? Au wewe ni moja katika hao wanaoteka, kutesa na kuwaumiza Watanzania? Unaishi wapi? Jana tu huko Arusha mfanya biashara wa madini kadaiwa kuuawa na vyombo vya usalama au wewe unabisha? Acha upumbavu ndugu yangu, kiri tu kwamba mmeshikwa pabaya safari hii.
 
Hapana kaka yangu, ukianza kutaja wanaccm waliouawa ndani mwezi mmoja na polisi kuthibitisha wameuawawa na wanachadema Mbona hujalizungumzia ndugu yangu?

Je ni haki mwana Ccm kuuawawa?

Tuacheni double standard Watanzania tuwe wazalendo kama Rais Magufuli

Mimi sina chama kaka, ila naona Ccm na Magufuli wanapendwa sana na Watanzania
@Bwana Jela, kukiri tu kwamba wewe in mwana CCM unaongopa na mko wengi, hauko peke yako. Je unajua ni kwa sababu gani? Unafiki. Unadai kwamba si kweli watu wametekwa, kuteswa na kuumizwa na ukatili wa awamu hii, unamdanganya nani? Au wewe ni moja katika hao wanaoteka, kutesa na kuwaumiza Watanzania? Unaishi wapi? Jana tu huko Arusha mfanya biashara wa madini kadaiwa kuuawa na vyombo vya usalama au wewe unabisha? Acha upumbavu ndugu yangu, kiri tu kwamba mmeshikwa pabaya safari hii.
 
Ukweli kafanya kazi Kubwa, kuteka, kuua na kuzuia demokrasia
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
 
Hapana kaka yangu, ukianza kutaja wanaccm waliouawa ndani mwezi mmoja na polisi kuthibitisha wameuawawa na wanachadema Mbona
Ndipo hapa mnapokuwa wajinga, sisi tunaongelea Watanzania wanaotekwa, kuteswa na kuuawa, wewe unaongelea wana CCM wnaouawa na wana Chadema, je mpaka hapo unaona tofauti yoyote? Ukisema wameuawa na Chadema ni kwamba wahalifu wameshapatikana na wanashughulikiwa. Je kikundi cha wasiojulikana wanajulikana? Wangapi walikamatwa na kushughulikiwa na vyombo vya dola? Au hao ni vyombo visivyo rasmi vya dola? Je ukiwa CCM huhitaji kuwa na akili?
 
Kaka huo ni uwongo tu, hayo mambo polisi walikiri yamefanywa na Chadema
Ndipo hapa mnapokuwa wajinga, sisi tunaongelea Watanzania wanaotekwa, kuteswa na kuuawa, wewe unaongelea wana CCM wnaouawa na wana Chadema, je mpaka hapo unaona tofauti yoyote? Ukisema wameuawa na Chadema ni kwamba wahalifu wameshapatikana na wanashughulikiwa. Je kikundi cha wasiojulikana wanajulikana? Wangapi walikamatwa na kushughulikiwa na vyombo vya dola? Au hao ni vyombo visivyo rasmi vya dola? Je ukiwa CCM huhitaji kuwa na akili?
 
Kwahiyo hutaki anogeshe wakati wa kampeni? Kwano
Magufuli mwenyewe hana uhakika wa kushinda anahaha na NEC na kupiga magoti majukwaani.
Kwahiyo hutaki anogeshe wakati wa kampeni? Kwani ni lini vionjo wakati wa kampeni vilikataliwa?
 
Wanajishuku wenyewe na kukataa kukiri kuwa wao ni CCM,lakini wakianza kujieleza unagundua kuwa hiyo mistari na chorus mwandishi wake ni Pole pole na Mhariri ni Bashiru.Kwa nini wanahisi kukiri kuwa ni CCM ni dhambi na aibu.
 
Hivi kuna nchi nyingine duniani ambako mmoja wa wagombea wa urais anateua tume ya uchaguzi? Hiki ni kitu kinafanya tudharauliwe sana duniani.

Uhuru maana yake ni nini? Sio uwezo wa kujiamulia mambo yetu wenyewe? Mbona hatuna uwezo wa kuamua ni nini ndiyo kiwe katiba yetu? Watanzania tumeporwa uhuru wetu?

Tulidharauliwa sana wakati tunatawaliwa na Waingereza. Na sasa tunadharauliwa sana wakati tunatawaliwa na ccm. Bado sisi siyo watu huru. Tunaweza kujikomboa, itabidi tujikomboe. Tukatae ccm na wanyapara wake
Wewe ndiyo Popoma kabisa unataka uteue wewe!? Hujui hilo ni takwa la Kikatiba?


Na kwa kujibu swali lako hakuna nchi hata moja na hata Tanzania Mmoja wa Wagombea Urais hateuwi wajumbe wa Tume ya Uchaguzi, anayeteua ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na anafanya hivyo kwa mujibu wa Katiba ya JMT.

Kwa nyongeza tu Tume ya uchaguzi ya JMT ni huru kwa mujibu wa Katiba ya nchi yetu na uzuri zaidi inatambuliwa na kukubaliwa na vyama vyote vya siasa vyenye usajili hapa nchini, ndio maana unaona hata kwa mwaka huu kuna zaidi ya vyama vya siasa 15 vinavyoshiriki kwa moyo mmoja kabisa uchaguzi Mkuu wa Mwaka huu ulioandaliwa na Tume huru ya uchaguzi ya JMT.
 
Mimi hayo sijayaona ndugu yangu, ila nimekuwa nikiona Rais Magufuli akiwapatia msaada Watanzania mbalimbali

Ana huruma na upendo huyu Baba
Kweli kabisa
1.Aliwaua watu na kuwa tesa baadhi kikatili
2.Aliwafukuza watu kazi kikatili
3.Alikula pesa la rambirambi
4.Amewanyima watu ajira kwa miaka mitano
5.Hajaongeza mishahara kwa wafanyakazi
6.Amefanya maisha kuwa magumu
7.Wajawazito sikuhizi wanalipia

Anahuruma sana huyu Baba anasaidia sana!Ana mwaga pesa Barabarani
 
Chandimu kwa kujifariji hamjambo! Mwaka huu mnaenda kupigwa kwenye sanduku la kura haijawahi kutokea! Yaani mtapata aibu ya miongo kumi!

Hilo Kama mnalijua mbona mnahangaika na tume na polisi !Mnapiga magotu ya nini kuomba kura?
 
Back
Top Bottom