Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Pace maker
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pace maker
Kama unaishi Tunduru nategemea kupata jibu gani?Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli huyu Watanzania wanampenda sana
Kila nikiuliza mtu anasema atapigia Magufuli kura
Tayari una chamaMimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Lugha nyepesi CCM inanukaMimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Lugha nyepesi CCM ina NUKa
Wanaweza kupita bila kupiga kampeni kwa kubebwa na DEDCCM, TUMECCM, POLICCM N.KMimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Ccm haiamini katika haki ina amini katika dhuluma! Wala hawaamini katika uwepo wa Mungu 🤔Huo ni uwongo kaka yangu
Wanaweza kupita bila kupiga kampeni kwa kubebwa na DEDCCM, TUMECCM, POLICCM N.K
Ccm haiamini katika haki ina amini katika dhuluma! Wala hawaamini katika uwepo wa Mungu [emoji848]
Wanaweza kupita bila kupiga kampeni kwa kubebwa na DEDCCM, TUMECCM, POLICCM N.K
Huo ni uwongo kaka yangu
Mimi sina chama ila nikiangalia Ccm inapendwa sana na Magufuli anapendwa sana na Watanzania
Kuna kila dalili kuwa Ccm itashinda sana
Mimi sipo kwenye mambo ya siasa kaka yangu
Ila Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania
Acha sound wewe, ccm watumie hela za umma kufund kampeni zao bwana lissu mtaalam wa sheria kuliko watu wote duniani awe hajalisemea. Huenda inauma lakini ccm wana hela aisee. Niko msalala kabla ya kampeni kuanza ccm walitangaza kuhitaji milion 250 kama fund za kuendesha mchakato wa kampeni ndani ya wiki mzigo ulikuwa umechangwa na wadau na wengine wanaomba kuongezea hapo ni wilaya moja tu kama ilikuwa program ya nchi nzima unadhani walikusanya kiasi gani? Jumlisha vitega uchumi vyao, michango ya wapenzi na wanachama mmoja mmoja nk.. Tusiwe tunapenda kujiliwaza, ccm ina pesaKama ndivyo kulikuwa kuna haja gani ya kutumia fedha za umma kuwakodisha Wasani lukuki? Watadai ni fedha za chama lkn si kweli.
Ukweli uko wazi maendeleo ni ya watu siyo ya vitu. CCM imechokwa na hata yenyewe imejichokea kwa sasa ni nguvu ya Dola na Tume ya Uchaguzi ndiyo tegemeo lao kuu.
Acha fix wewe taga!Mimi sipo kwenye mambo ya siasa kaka yangu
Ila Rais Magufuli anapendwa sana na Watanzania
Acha fix wewe taga!