Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,385
Tusiposhiriki uchaguzi hatutapata hata mtu mmoja wa kutusemea. Wakati wa ukoloni wa Waingereza, wakombozi wetu walishiriki uchaguzi wakaingia bunge la wakati ule. Wakatusemea. Ikifika mahali ikabidi kuacha kabisa kushiriki itamaanisha imebaki option ya kupigana tu basi. Hatupendi hilo.Kwa nini mnashiriki uchaguzi basi? Wanasaccos lazima mtakuwa na matatizo ya kiakili kama mgombea wenu wa urais.
Kasome vizuri sijataja kuwa kila nchi ni Rais ndio anateua hao Wajumbe.Hukutaja Kenya. Nimekupa mfano wa nchi ambayo Tume ya Uchaguzi haiteuliwi na Rais peke yake. Nilifanya hivyo kwani ulidanganya kila nchi ni Rais tu ndiye anateua Tume ya Uchaguzi. Unatetea ujinga. Don't you know what a counter-example is? Kama kuna malalamiko bado ni beside the point.
CCM imekuwa inategemea kuiba kura miaka mingi mno. Wanatutawala kwa nguvu hao kizazi cha nyoka.
Kazi ipi?Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Aliyefanya kazi kubwa huwa anapiga magoti kuomba kura?Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli
Mimi sina chama ila naona wagombea wa CCM wana nafasi kubwa ya kushinda
hata wasipopiga kampeni kutokana na kazi kubwa aliyofanya Rais Magufuli