Pre GE2025 Wagombea CHADEMA walivyowasili kwa mbwembwe kwenye ukumbi wa Mlimani City

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wanafeli sana, sasa hakuna hata chanell inaonyesha live, clouds wanapiga mziki tu , CCM wataedelea kuwa juu kwa miaka mingi sana, chadema hata hili tukio kutuonyesha wanashindwa?
Unajitoa ufahamu kuwa vyombo vya habari vimepigwa bit kiana kuonyesha shughuli za upinzani?
 
Nimeona msafara wa Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe kiukweli ametisha sana

Ndio nimemkumbuka aliyekuwa Waziri wa Tehama Nape Nnauye namna alivyomalizia Uwaziri wake Kwenye huu huu ukumbi

Ahsanteni sana 😄
 
Unajitoa ufahamu kuwa vyombo vya habari vimepigwa bit kiana kuonyesha shughuli za upinzani?
Sasa hili tukio ni la kuonyeshwa channel moja pekee? Huoni mapungufu kimkakati? Clouds wamekata matangazo ghafla tu
 
Lissu anatembea na gari yake ikiwa na matundu ya risasi, waliomfanyia unyama huyu jamaa watakuwa wanaumia sana 😃
 
Wanafeli sana, sasa hakuna hata chanell inaonyesha live, clouds wanapiga mziki tu , CCM wataedelea kuwa juu kwa miaka mingi sana, chadema hata hili tukio kutuonyesha wanashindwa?
Hujui ni kwanini hawawezi kuoneshwa Live?
 
j.jpg
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi inabidi aingilie kati asimamishe huu uchaguzi ndani ya CHADEMA, maana hauna amani na kuna viashiria vya wazi vya vurugu vinaonekana..!!
 
Wanafeli sana, sasa hakuna hata chanell inaonyesha live, clouds wanapiga mziki tu , CCM wataedelea kuwa juu kwa miaka mingi sana, chadema hata hili tukio kutuonyesha wanashindwa?
Kwani kuonyeshwa sana ndio kunakupa mvuto? Cdm wana mvuto automatically bila hata kuonyeshwa popote.
 
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi inabidi aingilie kati asimamishe huu uchaguzi ndani ya CHADEMA, maana hauna amani na kuna viashiria vya wazi vya vurugu vinaonekana..!!
Uko sahihi, mkutano unaostahili kuwepo ni wa makondoo wa ccm, hao ndio sahihi maana hawana uwezo wa kuhoji lolote.
 
Polisi nao wanawatakiwa wawepo wa kutosha hapo Mlimani City, CHADEMA hata wao kwa wao tu ni vurugu sana, wakipewa nchi itakuwa kama Sudan
 
Back
Top Bottom