Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kwa Mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, John Mrema aliyoisambaza Dunia nzima , Kwamba hata wale wawili watatu wa Chadema waliopitishwa kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa wanaondolewa.
Porojo za Waenguaji ni kwamba kuna Mapingamizi dhidi ya Wagombea hao.
Bali hata hao Wagombea Wenyewe hawakuwahi kuonyeshwa hayo Mapingamizi yenyewe, Yaani wenye mamlaka wanaamua tu kuwaengua!
Kwa jambo hili na mengine kadhaa yanayoendelea, sasa ni Dhahiri kwamba hii Nchi Imefikia Kikomo chake.
Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho