LGE2024 Wagombea hata wale Wachache wa Chadema waliopitishwa waanza Kuenguliwa

LGE2024 Wagombea hata wale Wachache wa Chadema waliopitishwa waanza Kuenguliwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hahahaha boya mbowe alishangilia akidhani Dkt Magufuli alikuwa mbaya. Sasa Dkt Magufuli hayupo hahaha
Wapumbavu sana hao wanadhani sisi ni wapumbavu tuandamanishwe na mbowe kwa lipi ...jpm mzalendo walimpinga ...jpm mleta maendeleo walimpinga ....jpm mpinga ufisadi walimpinga...jpm mwenye kujali wanyonge walimpinga...jpm aliye pigania rasilimali yetu walimpinga sasa wanata tuwaunge mkono ili tupate nini zaidiya wao kushibisha matumbo yao.
 
Sasa unalia nini?
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kwa Mkurugenzi wa Itifaki wa Chadema, John Mrema aliyoisambaza Dunia nzima , Kwamba hata wale wawili watatu wa Chadema waliopitishwa kugombea uenyekiti wa Serikali za Mitaa wanaondolewa.

Porojo za Waenguaji ni kwamba kuna Mapingamizi dhidi ya Wagombea hao.

Bali hata hao Wagombea Wenyewe hawakuwahi kuonyeshwa hayo Mapingamizi yenyewe, Yaani wenye mamlaka wanaamua tu kuwaengua!

Kwa jambo hili na mengine kadhaa yanayoendelea, sasa ni Dhahiri kwamba hii Nchi Imefikia Kikomo chake.

Hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho

View attachment 3149516sasa mtetezi wenu nani????
 
Back
Top Bottom