LGE2024 Wagombea hata wale Wachache wa Chadema waliopitishwa waanza Kuenguliwa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Chadema ni wapumbavu
 
Wapinzani wameyataka wenyewe, kulikuwa hakuna sababu ya kushiriki uchaguzi wa mwaka huu na hata ule wa mwakani kwa katiba hii tuliyonayo sasa.
 
Na wewe jibu swali. Kama chama cha siasa mmeishiwa mbinu za kisiasa?
Hakuna siasa hapo. Ni dola/serikali inatumia mabavu kinyume cha katiba na sheria.

Hatua iliyobaki kwa CHADEMA ni kuanzisha maandamano ya nguvu kupinga maamuzi ya dola au hata vita, basi. Umeulizwa swali sahihi: unataka CHADEMA waanzishe vita?
 
Zamani, kila mara ukienda nyumbani unalia kwamba umepigwa, basi unaonekana mzembe na unaongezewa viboko.

Kwanini kila mara upigwe wewe tu?
 
Hakuna siasa hapo. Ni dola/serikali inatumia mabavu kinyume cha katiba na sheria.

Hatua iliyobaki kwa CHADEMA ni kuanzisha maandamano ya nguvu kupinga maamuzi ya dola au hata vita, basi. Umeulizwa swali sahihi: unataka CHADEMA waanzishe vita?
Umeanza kuongea options za kisiasa. Maandamano, kuexhaust option ya mahakama nk nk. Vita hutoa mhuni mmoja na kuweka mwingine.
 
Umeanza kuongea options za kisiasa. Maandamano, kuexhaust option ya mahakama nk nk. Vita hutoa mhuni mmoja na kuweka mwingine.
Kwa hiyo unashauri CHADEMA waende mahakamani kuishitaki serikali kwa kuengua wagombea wake isivyo halali - kama mkakati wa kisiasa, sio?
 
Habari siriaz kama hizi, lazima ziwe na chanzo chenye kuaminika.
 
Poor Tanganyika sasa hivi endeleeni kulalama tu, siku mkishtuka kutoka usingizini mtajilaumu sana kwanini hakuchukua hatua mapema.
 
Hahahaha boya mbowe alishangilia akidhani Dkt Magufuli alikuwa mbaya. Sasa Dkt Magufuli hayupo hahaha
 
Hawa watu wameshalewa madaraka, kiasi kwamba hawaoni aibu tena.
 
Je watafanikiwa kuonea hivi hadi lini?
Hawa walikubali mfumo wa Demokrasia wa Siasa za Vyama vingi kwa SHINIKIZO la Wazungu.

Sasa wanachofanya ni KUWAHADAA Wazungu hao sasa sisi tunawaomba Wazungu hao watumie UWEZO wao kama ni VIKWAZO au KUKATA MISAADA NK.

LAA SIVYO ITAKUWA NI HIVI HIVI FOREVER.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…