ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Aug 4, 2025 #1 Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu
T TrueVoter JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 4,376 Reaction score 5,500 Aug 4, 2025 #2 Aliyeanza kugawa baskeli mbona hukumsema..? Huyo ndio ali-set standard ya kinachofanyika sasa.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,988 Reaction score 30,183 Aug 4, 2025 #3 CCM hakuna msafi
N ngwelunyinji Member Joined Jul 17, 2025 Posts 46 Reaction score 90 Aug 4, 2025 #4 Nimepokea 10000 yangu maisha yanaendelea
Pac the Don JF-Expert Member Joined Feb 17, 2021 Posts 7,247 Reaction score 8,682 Aug 4, 2025 #5 ndege JOHN said: Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu Click to expand... Rushwa na mfumo ni chanda na pete!!!
ndege JOHN said: Chama kisikae kimya kukemeea hii michezo wagombea unaambiwa usiku wanapita na kugawa 10000 kwa watu Click to expand... Rushwa na mfumo ni chanda na pete!!!