Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

Wagombea Ubunge wa CHADEMA wanapata wakati mgumu kuomba kura

Utatuambia nini,Wakati unapinga Maendelea ya vitu.

Barabara=kitu.
Umeme=kitu.
Vifaa vya hospitali=kitu.
Nyenzo za kufundishia=kitu.
Njia za usambazaji wa Maji=kitu.
Reli= kitu.
Majengo=kitu
Daraja=kitu

Na vitu vyote mnavyo vijua.

Hakuna Maendelea ya Watu,bila uwepo wa maendeleo ya vitu ambavyo vitapelekea Maendeleo ya watu binafsi.

Maendeleo bila Vitu, Hayo ni Maendeleo ya ukuaji kama ule unaoneshwa kwenye kadi ya Maendeleo ya mtoto(Kliniki).
 
kwamba hizo changamoto zimeisha au?
Mgombea udiwani hawezi kuahidi kuongeza mshahara. Huku kwetu vijijini, kata nzima wanaotegemea mshahara hawazidi 100, ambao ni walimu, wahudumu wa afya, watendaji wa serikali, afisa maliasili. Kwahiyo hoja hiyo inawapa ugumu sana wagombea. Wakitaka kuahidi kuboresha vituo vya afya, wanakumbushwa kuwa chama chao kinapinga maboresho ya huduma za afya kwa kuyaita maendeleo ya vitu!
 
Utatuambia nini,Wakati unapinga Maendelea ya vitu.

Barabara=kitu.
Umeme=kitu.
Vifaa vya hospitali=kitu.
Nyenzo za kufundishia=kitu.
Njia za usambazaji wa Maji=kitu.
Reli= kitu.
Majengo=kitu
Daraja=kitu

Na vitu vyote mnavyo vijua.

Hakuna Maendelea ya Watu,bila uwepo wa maendeleo ya vitu ambavyo vitapelekea Maendeleo ya watu binafsi.

Maendeleo bila Vitu,Hayo ni Maendeleo ya ukuaji kama ule unaoneshwa kwenye kadi ya Maendeleo ya mtoto(Kliniki).
Ni kweli mkuu. Hoja hii imekuwa mwiba huku mitaani. Wapinzani wanashindwa kujitetea.
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Mambo ya kishenzi kama haya ccm imeshindwa hata kujitetea hadi wanayaondoa baada ya kuumbuliwa.
Wanapiga faini hata aliyeshindwa kwenda hospitalini kujifungua bila kujali alikosa gari au nini.
CCM ikipewa madaraka itapiga faini hata maiti wasio na kadi ya chama
IMG_20201003_065822.jpg
IMG_20201003_175446.jpg
 
Mambo ya kishenzi kama haya ccm imeshindwa hata kujitetea hadi wanayaondoa baada ya kuumbuliwa.
Wanapiga faini hata aliyeshindwa kwenda hospitalini kujifungua bila kujali alikosa gari au nini.
CCM ikipewa madaraka itapiga faini hata maiti wasio na kadi ya chamaView attachment 1589770View attachment 1589771
Naona umempa za uso 😂😂😂😂😂😂
 
Ahadi yao namba moja,ni Uhuru na haki au hats Hilo unajaribu kusema hujalisikia.
 
Hivi jamani tuseme ukweli kati ya mtu A na B, nani hapa anapagawa na anaonekana kukosa mwelekeo katika masuala yake
A: "Maendeleo hayana chama" baadae "hapa sikuwaletea jambo hilo(maendeleo) kwa sababu mliniletea mtu wa chama kingine".
B: " Tunakwenda kujenga serikali imara itakayofuata utawala bora(rule of law" baadae "Unyanyasaji na masuala kama vitambulisho vya machinga tutaviondoa ni wizi"
A:"Vitambulisho sio lazima"(wakati vipo kisheria) na sheria yenyewe bado inafanya kazi BAADAE "kitambulisho cha machinga unaweza kuchukulia mkopo benki"(impossible)
B: " Watumishi tutawaongezea maslahi, kwa miaka mitano hamjaongezewa mishahara wala kupandishwa madaraja kama sheria inavyotaka"
A:Nyerere alitawala 27,Mwinyi kumi,Mkapa kumi,Kikwete kumi,mimi kwa nini mnataka kubadilika,nipeni mitano nimalizie" KASAHAU alisema hiyo kazi ni ngumu haipendi aangeweza angeachana nayo.
MATUKIO Mtu A anapiga magoti kuomba ahurumiwe apewe kura,Mtu B anashawishi kwa kuelezea hali halisi ya maisha.
Mtu A ni Lissu, Mtu B ni Magufuli(nimeandika makusudi)....hata haingii akilini kusema
 
Na hivi ndivyo wafuasi wa Chadema mnavyoshindwa kuelewa kinachoendelea.
Mada inaongelea wagombea Ubunge, wewe unaweka A na B! Totally off point...
 
Na hivi ndivyo wafuasi wa Chadema mnavyoshindwa kuelewa kinachoendelea.
Mada inaongelea wagombea Ubunge, wewe unaweka A na B! Totally off point...
Mwaka huu,badala ya kuwasomesha namba,mnazisoma na mtazisoma hats zile za kirumi na kichina.
 
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii. Yaani sisi
Mkuu umesahau na viwanda vya ku-blend juice, naona wameishatimiza idadi ya viwanda walivyokuwa wanavipigia chapuo wakati chakubanga anaingia pale magogoni kwa hila!
 
Na hivi ndivyo wafuasi wa Chadema mnavyoshindwa kuelewa kinachoendelea.
Mada inaongelea wagombea Ubunge, wewe unaweka A na B! Totally off point...
Umesema wagombea wa CDM ni kama wamepagawa wanashindwa kuomba kura, nimetoa mfano wa Wagombea ngazi ya uraisi wa vyama hivyo nani kapagawa.
Teh teh vipi ulizaliwa zama za chama na serikali, yani serikali ni chama na chama ni serikali, sababu watu wa kizazi hicho kidogo huwa mnahitaji muda kuelewa tofauti.
Anyway wagombea wanatoa ahadi za vitu pia, hao hao wa CDM lakini vitu vikiendana na maendeleo ya watu na wanazingatia muktadha na mahitaji ya maeneo husika.
Hauoni vijijini hamuongelie tena flyovers za Dar,Ndege n.k
WAAMBIE BILA KUIBA WANAONDOKA,IMARISHENI MBINU ZA KUIBA,HIYO NDIYO SILAHA ILIYOBAKI
 
Hii inadhihirisha kuwa CCM inao ushawishi kwa wapiga kura. Kama imeweza kuwashawishi wakavaa sare na kupanda lori kwenda kwenye mkutano, itaweza pia kuwashawishi waende kupigia kura CCM.
Kuna hela za "kujitawazia" buku 7,20 kulingana na namna ulivyo na hadhi yako na unavyoweza kutumika kama "ndomu".Ni umalaya tu kama umalaya wa maeneo ya buguruni.
Hauwezi kusema wale wanapenda kufanya mapenzi...hahaha..
 
Back
Top Bottom