BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kiukweli mambo chadema wanayoahidi kufanya ni magumu kueleweka moja kwa moja na raia akaamua kukupigia kura. Unamshawishi vp raia kwamba zahanati na barabara sio vya muhimu kwake ila cha muhimu ni uhuru wa kuingia barabarani unapiga makopo na mabango pale serikali inapokukwaza!