Best Daddy
JF-Expert Member
- Apr 2, 2019
- 950
- 1,672
Mgombea udiwani hawezi kuahidi kuongeza mshahara. Huku kwetu vijijini, kata nzima wanaotegemea mshahara hawazidi 100, ambao ni walimu, wahudumu wa afya, watendaji wa serikali, afisa maliasili. Kwahiyo hoja hiyo inawapa ugumu sana wagombea. Wakitaka kuahidi kuboresha vituo vya afya, wanakumbushwa kuwa chama chao kinapinga maboresho ya huduma za afya kwa kuyaita maendeleo ya vitu!kwamba hizo changamoto zimeisha au?
Ni kweli mkuu. Hoja hii imekuwa mwiba huku mitaani. Wapinzani wanashindwa kujitetea.Utatuambia nini,Wakati unapinga Maendelea ya vitu.
Barabara=kitu.
Umeme=kitu.
Vifaa vya hospitali=kitu.
Nyenzo za kufundishia=kitu.
Njia za usambazaji wa Maji=kitu.
Reli= kitu.
Majengo=kitu
Daraja=kitu
Na vitu vyote mnavyo vijua.
Hakuna Maendelea ya Watu,bila uwepo wa maendeleo ya vitu ambavyo vitapelekea Maendeleo ya watu binafsi.
Maendeleo bila Vitu,Hayo ni Maendeleo ya ukuaji kama ule unaoneshwa kwenye kadi ya Maendeleo ya mtoto(Kliniki).
Mambo ya kishenzi kama haya ccm imeshindwa hata kujitetea hadi wanayaondoa baada ya kuumbuliwa.CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
Acha magoti tuu, wengine wamegalagala chini kama wehu kabisa.Kama wagombea wa Chadema wameshindwa kuomba kura nyinyi CCM kinachowafanya mpige magoti ni nini ? View attachment 1589742View attachment 1589743
View attachment 1589744View attachment 1589745View attachment 1589747
Kwani CCM wanaweza kujitetea wapi??Ni kweli mkuu. Hoja hii imekuwa mwiba huku mitaani. Wapinzani wanashindwa kujitetea.
Naona umempa za uso 😂😂😂😂😂😂Mambo ya kishenzi kama haya ccm imeshindwa hata kujitetea hadi wanayaondoa baada ya kuumbuliwa.
Wanapiga faini hata aliyeshindwa kwenda hospitalini kujifungua bila kujali alikosa gari au nini.
CCM ikipewa madaraka itapiga faini hata maiti wasio na kadi ya chamaView attachment 1589770View attachment 1589771
Hizi za uso Kada mkongwe lazima achutame 😂😂😂Acha magoti tuu, wengine wamegalagala chini kama wehu kabisa.
Hebu waone mawaziri hawa Amina na Ummy, kweli kama umetimiza wajibu wako sawa sawa kunahaja gani ya kuchafua makalio na vumbi kuomba kura?
View attachment 1589783View attachment 1589784
Pole mkuu. Uchaguzi huu mgumu sana kwa wagombea wote ubunge na udiwani Chadema.Mimi nagombea udiwani kwa ticket ya chadema kiukweli kama chama tunawakati mgumu
Chadema ya Lumumba au???Mimi nagombea udiwani kwa ticket ya Chadema, kiukweli kama chama tuna wakati mgumu
Ulishaacha ualimu wako wa UPE?Mimi nagombea udiwani kwa ticket ya Chadema, kiukweli kama chama tuna wakati mgumu
Watu wako huru tayari.Ahadi yao namba moja,ni Uhuru na haki au hats Hilo unajaribu kusema hujalisikia.
Na hivi ndivyo wafuasi wa Chadema mnavyoshindwa kuelewa kinachoendelea.Hivi jamani tuseme ukweli kati ya mtu A na B, nani hapa anapagawa na anaonekana kukosa mwelekeo katika masuala yake
A: "Maendeleo hayana chama" baadae "hapa sikuwaletea jambo hilo(maendeleo) kwa sababu mliniletea mtu wa chama kingine".
B: " Tunakwenda kujenga serikali imara itakayofuata utawala bora(rule of law" baadae "Unyanyasaji na masuala kama vitambulisho vya machinga tutaviondoa ni wizi"
A:"Vitambulisho sio lazima"(wakati vipo kisheria) na sheria yenyewe bado inafanya kazi BAADAE "kitambulisho cha machinga unaweza kuchukulia mkopo benki"(impossible)
B: " Watumishi tutawaongezea maslahi, kwa miaka mitano hamjaongezewa mishahara wala kupandishwa madaraja kama sheria inavyotaka"
A:Nyerere alitawala 27,Mwinyi kumi,Mkapa kumi,Kikwete kumi,mimi kwa nini mnataka kubadilika,nipeni mitano nimalizie" KASAHAU alisema hiyo kazi ni ngumu haipendi aangeweza angeachana nayo.
MATUKIO Mtu A anapiga magoti kuomba ahurumiwe apewe kura,Mtu B anashawishi kwa kuelezea hali halisi ya maisha.
Mtu A ni Lissu, Mtu B ni Magufuli(nimeandika makusudi)....hata haingii akilini kusema
Mwaka huu,badala ya kuwasomesha namba,mnazisoma na mtazisoma hats zile za kirumi na kichina.Na hivi ndivyo wafuasi wa Chadema mnavyoshindwa kuelewa kinachoendelea.
Mada inaongelea wagombea Ubunge, wewe unaweka A na B! Totally off point...
Mkuu umesahau na viwanda vya ku-blend juice, naona wameishatimiza idadi ya viwanda walivyokuwa wanavipigia chapuo wakati chakubanga anaingia pale magogoni kwa hila!CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii. Yaani sisi
Umesema wagombea wa CDM ni kama wamepagawa wanashindwa kuomba kura, nimetoa mfano wa Wagombea ngazi ya uraisi wa vyama hivyo nani kapagawa.Na hivi ndivyo wafuasi wa Chadema mnavyoshindwa kuelewa kinachoendelea.
Mada inaongelea wagombea Ubunge, wewe unaweka A na B! Totally off point...
Kuna hela za "kujitawazia" buku 7,20 kulingana na namna ulivyo na hadhi yako na unavyoweza kutumika kama "ndomu".Ni umalaya tu kama umalaya wa maeneo ya buguruni.Hii inadhihirisha kuwa CCM inao ushawishi kwa wapiga kura. Kama imeweza kuwashawishi wakavaa sare na kupanda lori kwenda kwenye mkutano, itaweza pia kuwashawishi waende kupigia kura CCM.