BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Chakutafakari no kuwa huko uongozini Kuna Nini,Hadi kufikia hatua hiyo?Ama nimewakosea Nini hawa watu wangu?Na wanaomba kura huku wamepiga magoti wengine hadi wanajamba hao nao tuwaweke kundi gani?
Hao ni wanyenyekevu. Wakipewa kura watazithaminiNa wanaomba kura huku wamepiga magoti wengine hadi wanajamba hao nao tuwaweke kundi gani?
Unyenyekevu huonekana kwa vitendo,na wakati wote na sii kipindi maslahi yanapokuwa Shakani.jipange urudi kutudanganya.Hao ni wanyenyekevu. Wakipewa kura watazithamini
Sema wanapinga ,ukosefu was Uhuru,haki na maendeleo ya watu katika taifa letu.Sasa kama kiongoz wa chama anapinga maendeleo ya vitu unafikir wabunge na madiwan watakua na Sera gani mana hawawez Tena kutuambia kua watatuletea maendeleo ya kitu chochote
Hak ipi ioSema wanapinga ,ukosefu was Uhuru,haki na maendeleo ya watu katika taifa letu.
Uhuru wa maoni,habari,kutoingilia mihimili mingine kwa mujibu was Katiba yetu.Haki za kulindwa haki za msingi za kiraia,ikiwa ni pamoja na kuishi na kuhakikishiwa usalama na kutobaguliwa.Hak ipi io
Haki izo unazo ziomba ndio maendeleo? Kwaio ili nch iendelee lazima kina Tundulisu wapewe haki ya kutukana na kuongea uongo au wewe ndio huna haki??Uhuru wa maoni,habari,kutoingilia mihimili mingine kwa mujibu was Katiba yetu.Haki za kulindwa haki za msingi za kiraia,ikiwa ni pamoja na kuishi na kuhakikishiwa usalama na kutobaguliwa.
CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii. Yaani sisi
FaizaFoxy kaona ni ukhanithi unamtetea mtu humu alafu anawatesa waislamu πππ
Kila chama kinawajibika kuheshimu sheria, kanuni na maadili ya uchaguzi.Acheni kupitishana bila kupingwa, acheni kutumia tume ya uchaguzi kuwabeba na kuwakandamiza wapinzani, acheni polisi wafanye kazi yao kwa mujibu wa maadili yao, uchaguzi uwe uhuru, hapo ndipomtakapopata jibu kama ni kweli wagombea ubunge wa upinzani hawaeleweki kwa wananchi.