Uchaguzi 2020 Wagombea Ubunge wawili wa ACT-Wazalendo wawajia juu Maalim Seif na Zitto Kabwe kwa kumuunga mkono Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Wagombea Ubunge wawili wa ACT-Wazalendo wawajia juu Maalim Seif na Zitto Kabwe kwa kumuunga mkono Tundu Lissu

Kwiiiiiiiii kwiiiiiiiiiii. Njia ya mwongo fupi wakati lisu anamnadi mgombea wa ACT alipokuja aapa zenji, malimu seifu naye halikadhalika akajaaa ndani ya 18 kwa kumnadi lisu. Halafu ZITO ZUBERI KABWE LUYAGWA akasema atampigia lisu kula yake, kwani walikuwa hawajui kama nikinyume na katiba ya ACT? Tulieni sheria ishike mkondo wakee.
KU
Kumnadi sio tatizo
Soma maelezo yangu hao wabunge sijui vibaraka shida yao si Maalimu?
Basi hawana huo uwezo kwa kuwa wao sio wapiga kura wa Zanzibar
 
Yani watu wameamua wenyewe kushirikiana na chama ambacho si cha upinzani sijui kwa kutegemea nini halafu sasa wanakuja kulalamika et wamenunuliwa na ccm wakati walishasema toka zamani kuwa hicho chama(ACT) kinatumika na serikali ya ccm.
Screenshot_20201023-180709_YouTube.jpg
 
Polepole bado anachezea kodi zetu kwa kufanya manunuzi ya wapinzani?. Mbona haijamsaidia kwenye kampeni za uchaguzi huu, bado haamini tu?
 
Binamu Bujibuji poleni sana hawa watu wenu hawaaminiki... wanachoangalia ni kuwatumia kujaza mifuko yao tuu. Hawana dira, hawana maadili, hawana hata aibu kidogo
Waambieni hao vibaraka waache upumbavu na wasirudie kuchezea shilingi chooni kwani kumvuruga Maalimu ni kuchagua hali ya Zanzibar
 
Sawa kabisaa. Tena wakatafute haki zao kwenye vyombo husika maana wametapeliwa kisiasa

Vile vyama vya upinzani hawana dira wanataka kuvuruga hadi wanachama wao wenye malengo sababu ya uchu wao
Lissu ni kibaraka, Maalim Seif ni dikteta wa ukweli na Zitto ni ndumila kuwili na mropokaji.

Huyo Zitto aliwahi kusema sehemu moja huko Kigoma wamekufa zaidi ya watu 200 na alipotakiwa kuonyesha makaburi au mabaki ya wahanga akawa anazungusha tu macho...akahojiwa na vyombo vya habari vya nje kuhusu Corona na akasema hapa TZ hali ni mbaya na watu wanakufa ovyo..dah..Sasa hivi hata barakoa haijui...upinzani wa TZ ni watu wa hovyo kabisa...ni malaghai na matapeli wa kisiasa...hovyo kabisa...Leo anasema hiki na kesho wanasema kile...Ngoja tuwaadhibu kwenye sanduku la kura Hawa vibaraka na kuwazika kabisa kisiasa...
 
Polepole bado anachezea kodi zetu kwa kufanya manunuzi ya wapinzani?. Mbona haijamsaidia kwenye kampeni za uchaguzi huu, bado haamini tu?

Kwani polepole ndio alimsimamisha Ben Membe kugombea urais halafu akaja kumkataa hadharani

Upinzani wa nchi hii umejaa utapeli kama DECI
 
Huyu Lissu mwenyewe aliwahi kutamka kuwa ACT sio chama cha upinzani ni kwamba kimeundwa ili kuvuruga upinzani,sasa nikashangaa Lissu tena aliyetamka maneno hayo anashirikiana na ACT.



Hata ccm walisema Lowasa ni mwiz na fisadi je Leo lowasa yuko chama gani?
 
WAGOMBEA wawili wa kiti cha Ubunge wa Chama cha ACT-Wazalendo kupitia majimbo ya Kibamba jijini Dar es Salaam na Kyerwa mkoani Kagera wamewajia juu viongozi wa chama hicho kutokana na kauli yao ya kumuunga mkono mgombea wa kiti cha Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu...
Uzuri ni kwamba mwaka huu hata CCM watengeneze script ya namna gani, hawawezi kututoa wananchi kwenye focus kuu ambayo ni kumtoa magufuli madarakani.

Ni vizuri izo hela zinazotumika kuwalipa wapuuzi hawa wangeziweka kea ajili ya kuzitumia kama Chama pinzani rasmi kuanzia hapo November 2020
 
Hata ccm walisema Lowasa ni mwiz na fisadi je Leo lowasa yuko chama gani?

CCM walijua Lowasa ni fisadi ndio maana walimnyima ridhaa ya kuongoza dola, laiti kama mngesimamimia Ile misuto mliyompa bungeni hadi akajiuzulu msingethubutu kumpa ridhaa ya kugombea urais kwa chama chenu

Viongozi wa Chadema ni kama mume anayemtuma mke wake akajiuze ili waweze kuishi
Sad!
 
CCM walijua Lowasa ni fisadi ndio maana walimnyima ridhaa ya kuongoza dola, laiti kama mngesimamimia Ile misuto mliyompa bungeni hadi akajiuzulu msingethubutu kumpa ridhaa ya kugombea urais kwa chama chenu

Viongozi wa Chadema ni kama mume anayemtuma mke wake akajiuze ili waweze kuishi
Sad!

Na Leo Lowasa yuko wapi?
 
Unadhani nani atawasikiza saivi hawa misukule wa Lumumba???? Wameona hata ubunge kwenye hayo majimbo hawawezi pata wameamua kuuza utu wao. Watapata salamu hapo tarehe 28 kura zikianza kuhesabiwa kuwa watanzania hawapumbazwi na propaganda uchwara mwaka huu!! Tuko serious kweli kumtoa mkoloni mweusi madarakani
Waambieni hao vibaraka waache upumbavu na wasirudie kuchezea shilingi chooni kwani kumvuruga Maalimu ni kuchagua hali ya Zanzibar
a
 
Na Leo lowasa yuko wapi?

Kwani aliwahi fukuzwa au kurudisha kadi ya CCM? Yuko kulekule alipokua anashughulikiwa amefanya toba na Malipizi ya mali alizofisadi
 
Kumnadi sio tatizo
Soma maelezo yangu hao wabunge sijui vibaraka shida yao si Maalimu?
Basi hawana huo uwezo kwa kuwa wao sio wapiga kura wa Zanzibar
Soma waraka unaowaua kosa lao kwa mjibu wakariba waliyoipitisha kwa mbwebwe na vifijo, inasema hivi, uanachama wa mwanachama utakoma pindi tuuu atakapo mnadii mwanachama wa chama kingine huku nao wakiwa wamesimamisha mgombea.

Hilo ndo kosa laooo. Usiwateteeee wameisigina katiba yao waliyoitengeneza na kusabmit kwa kwa msajili wa vyamaaa. Wahoooondoketuuuu. Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovuuu. Haaaaaaaa haaaaaaaaa. Inaumaaaaaaaaaa
 
Dah! Sijui wamevuta bei gani kutoka kwa sloslow. Mzahazaha hivi hivi watu wanatolewa kwenye reli.
siasa ni sayansi... hao jamaa wako timamu kabisa... kuna kundi kubwa linatafutwa kufuata kauli ya kiongozi mkuu wa chama... sababu maneno ya hao wachache yatawafanya wengine waone kwamba wenzao hawataki mabadiliko na hawana nia ya kumuondoa ccm... hasira juu yao itawafanya wengine waunge kauli ya kiongozi wa chama kwa wingi...
siasa ni sayansi
 
Soma waraka unaowaua kosa lao kwa mjibu wakariba waliyoipitisha kwa mbwebwe na vifijo, inasema hivi, uanachama wa mwanachama utakoma pindi tuuu atakapo mnadii mwanachama wa chama kingine huku nao wakiwa wamesimamisha mgombea. Hilo ndo kosa laooo. Usiwateteeee wameisigina katiba yao waliyoitengeneza na kusabmit kwa kwa msajili wa vyamaaa. Wahoooondoketuuuu. Ndege mjanja hunaswa kwenye tundu bovuuu. Haaaaaaaa haaaaaaaaa. Inaumaaaaaaaaaa
Mood Right Now
💃💅👗👠💄🍸🍹🥂🍾🍸💚💚💚🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom