Lissu ni kibaraka, Maalim Seif ni dikteta wa ukweli na Zitto ni ndumila kuwili na mropokaji.
Huyo Zitto aliwahi kusema sehemu moja huko Kigoma wamekufa zaidi ya watu 200 na alipotakiwa kuonyesha makaburi au mabaki ya wahanga akawa anazungusha tu macho...akahojiwa na vyombo vya habari vya nje kuhusu Corona na akasema hapa TZ hali ni mbaya na watu wanakufa ovyo..dah..Sasa hivi hata barakoa haijui...upinzani wa TZ ni watu wa hovyo kabisa...ni malaghai na matapeli wa kisiasa...hovyo kabisa...Leo anasema hiki na kesho wanasema kile...Ngoja tuwaadhibu kwenye sanduku la kura Hawa vibaraka na kuwazika kabisa kisiasa...