Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Ukisema kweli makamanda wanachukia na siku zinakimbia.Fact. Majimboni (Ukitoa majimbo machache yenye wagombea wanaojitosheleza ki-rasilimali) hali ni mbaya sana. Hata haijulikani kampeni zitaanza lini.
Mazingira kama haya ni rahisi sana kuruhusu kuibiwa kura kama kweli wizi wa kura upo. Uongozi wa juu umekuwa na ubinafsi sana.Ukisema kweli makamanda wanachukia na siku zinakimbia.
Hela za kukodi bajaji tutapata wapi?Ili Jambo lifanyiwe kazi haraka ingawa kampeni ni zaidi ya vipaza sauti unaweza kwenda nyumba mwa nyumba
Ndio maana mimi namponda Mwenyekiti wangu hayuko serious.Mazingira kama haya ni rahisi sana kuruhusu kuibiwa kura kama kweli wizi wa kura upo. Uongozi wa juu umekuwa na ubinafsi sana.
Hii comment inakuvua nguo, wewe si mwanachadema japo mada yako ni ya msingi sana.Ukisema kweli makamanda wanachukia na siku zinakimbia.
Nafikiri mada yake ni muhimu zaidi kuliko uanachama wake, na mwanachama anayeogopa kukosoa asiwaudhi wanachama hana msaada kwa chama.Hii comment inakuvua nguo, wewe si mwanachadema japo mada yako ni ya msingi sana.
Wewe ni mmoja wa makamanda wasio na nia njema na Chadema.Hii comment inakuvua nguo, wewe si mwanachadema japo mada yako ni ya msingi sana.
Mwenyekiti sasa hivi anajali hali yake,Ndio maana mimi namponda Mwenyekiti wangu hayuko serious.
Mpya atajiuzasuluhisho ni kuweka mwenye kiti mpya maaana uyu ashavunjika hadi mguu
Mpya atajiuzasuluhisho ni kuweka mwenye kiti mpya maaana uyu ashavunjika hadi mguu
Acha utani,wananchi wanatakiwa wavutwe na matangazo.Nyerere alipiga kampeni bila kipaza, wapige hivo hivo ili hata wakiunga juhudi hasara isiwepo
Ipi hiyo?Tuanze kutumia ruzuku yetu tuliyoitunza dubai