Uchaguzi 2020 Wagombea wa chama chetu wana hali mbaya

Uchaguzi 2020 Wagombea wa chama chetu wana hali mbaya

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Makao makuu ya chama inatakiwa mchukue hatua za haraka kunusuru wagombea wa chama chetu.

Wengi hawana pesa za kuendeshea kampeni,na hali ni mbaya sana. Mimi ni kamanda nisiyechoka na kweli nitasema.

Hali ya kifedha na kisiasa ni mbaya sana, naomba makao makuu waangalie namna ya kuwasaidia. Wanakosa hata pesa za kukodishia vipaza sauti na michango hatupati sababu inaonyesha watu hawatupi support. Tunatakiwa tusaidiwe ili wagombea wafanye kampeni.
 
Nyerere alipiga kampeni bila kipaza, wapige hivo hivo ili hata wakiunga juhudi hasara isiwepo
 
Back
Top Bottom