Uchaguzi 2020 Wagombea wa chama chetu wana hali mbaya

Unawafikia wengi tu Kama upo serious . MABANGO timing yake ni wiki tatu za mwisho
Kwasasa wabunge kwenye halmashauri wanaweza kushirikiana kufanya mikutano kuandaa posters ndogondogo nk
 
Hili mimi nishahidi maana kuna rafiki yangu anagombea jimbo flani hali si nzuri,tunajitahidi kuchangishana washkaji.
 
Fact. Majimboni (Ukitoa majimbo machache yenye wagombea wanaojitosheleza ki-rasilimali) hali ni mbaya sana. Hata haijulikani kampeni zitaanza lini.
Baadhi ya maeneo mpaka manispaa Wananchi wala hawamjue mgombea Ubunge wa CDM
 
Chadema Sasa imekuwa mbendembende!
Mwenyekiti anakidai chama!
Chama kinapokea ruzuku m 300 kila mwezi!
Mwenyekiti Mungu anakuona
 
Chadema Sasa imekuwa mbendembende!
Mwenyekiti anakidai chama!
Chama kinapokea ruzuku m 300 kila mwezi!
Mwenyekiti Mungu anakuona
Chama kilikuwa na hali nzuri sana kampeni za 2010 wakati ruzuku yao kuelekea uchaguzi ule ilikuwa ndogo sana. Kuyumba kiasi tunachoshuhudia kwasasa ni ishara kuwa kuna tatizo kubwa kwenye oganaizesheni ya chama.

Ngumu kukubali, lakini hii ni moja ya mapengo ya kuondoka kwa Dr Slaa.
 
Kwani ruzuku ya chama kwa miaka mitano iko wapi? Na yale makato ya mishahara ya wabunge kwa miaka mitano iko wapi?
Wapo watu wanapenda kupitiliza,as if Chadema never do wrong.
Kama Chadema hakufanya siasa kwa miaka mitano pesa ilifanya kazi gani?
Kama Chadema hakujikita kujenga ofisi za chama,pesa ilienda wapi?
Lissu alihudumiwa matibabu 100% na Serikali ya Belgium
Safari za Lissu ulaya na Marekani was sponsored by Tanzania Diaspora
Bado kuna pesa walizopewa na European Union pammoja na UK waliweka wapi?
Je akiba iliobaki uchaguzi 2015 ilifanya nini.
Mara Boss Mrema nae bado anachangisha.......
 
True
 
Halafu hao ndio wakabidhiwe hazina ya taifa! Bwana Yesu alitufundisha kuwatambua watu kwa matunda yao.
 

MATAGA umejiunga jana ili uje upambanr na CHADEMA. Mwaka huu lazima utake mayai hata kama mtetea
 
Utawafikia wapigakura wangapi kwa Facebook kwa jimbo kama Tarime vijijini! Are you guys serious?!
Tarime Vijijini ya Heche au mwingine? kama ni ile ya Heche haihitajiki hata hiyo Facebook, kule kazi yote Heche keshaimaliza.
 
Ndio maana mimi namponda Mwenyekiti wangu hayuko serious.
Unataka mwwnyekiti atoe pesa mfukoni kwake awape wagombea? Gharama za kampeni zinatakiwa kuchangiwa na wana nchi wenye mapenzi mema,,kama wewe ni mgombea na huwezi kushawishi jamii inayokuzunguka kutoa support ya kuchangia kampeni maana yake ni kwamba hukubariki na jamii inayokuzunguka na kwahiyo huchaguliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…