Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Kwasasa wabunge kwenye halmashauri wanaweza kushirikiana kufanya mikutano kuandaa posters ndogondogo nkUnawafikia wengi tu Kama upo serious . MABANGO timing yake ni wiki tatu za mwisho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasasa wabunge kwenye halmashauri wanaweza kushirikiana kufanya mikutano kuandaa posters ndogondogo nkUnawafikia wengi tu Kama upo serious . MABANGO timing yake ni wiki tatu za mwisho
All the best.Unawafikia wengi tu Kama upo serious . MABANGO timing yake ni wiki tatu za mwisho
Hili mimi nishahidi maana kuna rafiki yangu anagombea jimbo flani hali si nzuri,tunajitahidi kuchangishana washkaji.Makao makuu ya chama inatakiwa mchukue hatua za haraka kunusuru wagombea wa chama chetu.
Wengi hawana pesa za kuendeshea kampeni,na hali ni mbaya sana. Mimi ni kamanda nisiyechoka na kweli nitasema.
Hali ya kifedha na kisiasa ni mbaya sana, naomba makao makuu waangalie namna ya kuwasaidia. Wanakosa hata pesa za kukodishia vipaza sauti na michango hatupati sababu inaonyesha watu hawatupi support. Tunatakiwa tusaidiwe ili wagombea wafanye kampeni.
Baadhi ya maeneo mpaka manispaa Wananchi wala hawamjue mgombea Ubunge wa CDMFact. Majimboni (Ukitoa majimbo machache yenye wagombea wanaojitosheleza ki-rasilimali) hali ni mbaya sana. Hata haijulikani kampeni zitaanza lini.
Mkuu umenenaa vyemaa....kwa kuongezea mkazo je chama hakina miradi?Kwani ruzuku ya chama kwa miaka mitano iko wapi? Na yale makato ya mishahara ya wabunge kwa miaka mitano iko wapi?
Chama kilikuwa na hali nzuri sana kampeni za 2010 wakati ruzuku yao kuelekea uchaguzi ule ilikuwa ndogo sana. Kuyumba kiasi tunachoshuhudia kwasasa ni ishara kuwa kuna tatizo kubwa kwenye oganaizesheni ya chama.Chadema Sasa imekuwa mbendembende!
Mwenyekiti anakidai chama!
Chama kinapokea ruzuku m 300 kila mwezi!
Mwenyekiti Mungu anakuona
Wapo watu wanapenda kupitiliza,as if Chadema never do wrong.Kwani ruzuku ya chama kwa miaka mitano iko wapi? Na yale makato ya mishahara ya wabunge kwa miaka mitano iko wapi?
TrueWapo watu wanapenda kupitiliza,as if Chadema never do wrong.
Kama Chadema hakufanya siasa kwa miaka mitano pesa ilifanya kazi gani?
Kama Chadema hakujikita kujenga ofisi za chama,pesa ilienda wapi?
Lissu alihudumiwa matibabu 100% na Serikali ya Belgium
Safari za Lissu ulaya na Marekani was sponsored by Tanzania Diaspora
Bado kuna pesa walizopewa na European Union pammoja na UK waliweka wapi?
Je akiba iliobaki uchaguzi 2015 ilifanya nini.
Mara Boss Mrema nae bado anachangisha.......
Halafu hao ndio wakabidhiwe hazina ya taifa! Bwana Yesu alitufundisha kuwatambua watu kwa matunda yao.Wapo watu wanapenda kupitiliza,as if Chadema never do wrong.
Kama Chadema hakufanya siasa kwa miaka mitano pesa ilifanya kazi gani?
Kama Chadema hakujikita kujenga ofisi za chama,pesa ilienda wapi?
Lissu alihudumiwa matibabu 100% na Serikali ya Belgium
Safari za Lissu ulaya na Marekani was sponsored by Tanzania Diaspora
Bado kuna pesa walizopewa na European Union pammoja na UK waliweka wapi?
Je akiba iliobaki uchaguzi 2015 ilifanya nini.
Mara Boss Mrema nae bado anachangisha.......
Makao makuu ya chama inatakiwa mchukue hatua za haraka kunusuru wagombea wa chama chetu.
Wengi hawana pesa za kuendeshea kampeni,na hali ni mbaya sana. Mimi ni kamanda nisiyechoka na kweli nitasema.
Hali ya kifedha na kisiasa ni mbaya sana, naomba makao makuu waangalie namna ya kuwasaidia. Wanakosa hata pesa za kukodishia vipaza sauti na michango hatupati sababu inaonyesha watu hawatupi support. Tunatakiwa tusaidiwe ili wagombea wafanye kampeni.
Tarime Vijijini ya Heche au mwingine? kama ni ile ya Heche haihitajiki hata hiyo Facebook, kule kazi yote Heche keshaimaliza.Utawafikia wapigakura wangapi kwa Facebook kwa jimbo kama Tarime vijijini! Are you guys serious?!
Unataka mwwnyekiti atoe pesa mfukoni kwake awape wagombea? Gharama za kampeni zinatakiwa kuchangiwa na wana nchi wenye mapenzi mema,,kama wewe ni mgombea na huwezi kushawishi jamii inayokuzunguka kutoa support ya kuchangia kampeni maana yake ni kwamba hukubariki na jamii inayokuzunguka na kwahiyo huchaguliki.Ndio maana mimi namponda Mwenyekiti wangu hayuko serious.