Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ni mdada machachari asiyeyumbishwa anaitwa Catherine RugeMgombea wa CHADEMA ktk jimbo hilo anaitwa nani?
Mkuu Analogia Malenga naomba unijibu maana wewehuwahutupi ushirikiano hapa jukwaani hasa hasa member wa upinzani.
Ok shukrani mkuu, vipi anaundugu na na marehemu Mtahaba?Ni mdada machachari asiyeyumbishwa anaitwa Catherine Ruge
Hapana. Hawana uhusiano wowote, ni majina tu. Huyu mdada kwao ni eneo linaloitwa Ngoreme wilaya ya Serengeti. Mtahaba ni Mhaya wa Kagera.Ok shukrani mkuu, vipi anaundugu na na marehemu Mtahaba?
Ni mdada machachari asiyeyumbishwa anaitwa Catherine Ruge
Hawajakwama bro. Bunda-Ester Bulaya, Tarime-Ester Matiko, Serengeti-Catherine Ruge. Ni maamuzi tu ya wanaMara.Wanaume tunakwama wapi???
Sasa wanaume wasikimbie kimbie wapammbane na hilo zoeziHawajakwama bro. Bunda-Ester Bulaya, Tarime-Ester Matiko, Serengeti-Catherine Ruge. Ni maamuzi tu ya wanaMara.
Na tume inajua naniDaniel daud huyo ni msaka tonge hana lolote awali alikua cuf amehamia Nccr then ccm baada ya kuona hawezi toboa kwa chadema mbuzi wa mayai tu huyo hapa Serengeti ccm hamtoboi saizi chadema imesimama tulieni tuwaoneshe hao hawana uwezo hata kidogo hata wakihamia ccm wamefata maslahi yao tuulize watoto wa town wenye mji wetu tunajua mbunge wetu na diwani ni nani
Serengeti hatupangiwagi tuna amuaga sisi sisi haki ikidhurumiwa kwanza tuna zingira halimashauli nzima tuna wahi kwa mkurugenzi tuna zingira kwa lolote tunafanya hatudhurumiwagi haki Serengeti tukiamua tunaemtaka ndie atuongoze no story maamuzi yapo kwa wana Serengeti na sio maagizo kutoka juuNa tume inajua nani