Uchaguzi 2020 Wagombea wa Ubunge wa NCCR na ACT-Wazalendo wajiunga CCM

Uchaguzi 2020 Wagombea wa Ubunge wa NCCR na ACT-Wazalendo wajiunga CCM

Serengeti hatupangiwagi tuna amuaga sisi sisi haki ikidhurumiwa kwanza tuna zingira halimashauli nzima tuna wahi kwa mkurugenzi tuna zingira kwa lolote tunafanya hatudhurumiwagi haki Serengeti tukiamua tunaemtaka ndie atuongoze no story maamuzi yapo kwa wana Serengeti na sio maagizo kutoka juu
Mtajuana na mzee baba
 
Mtajuana na mzee baba
Mbona Serengeti mwepesi sana unajua maana ya neno Mugumu Serengeti ? Sisi ni wagumu labda amri itoke kwa miungu ya Mugumu na sio yeyote yule sie tuna maamuzi kwa MTU tumpendae isipokua tutakushabikia ila kama hatutaki utuongoze nikitoka kupiga kura nilie mpigia lazima anaefata ampigie hayo ni maelekezo tunapeana kabla ya siku ya uchaguzi
 
Utanitag matokeo yakitoka baada ya uchaguzi
 
Hapo uchaguzi utanoga zaidi kama farasi watabaki wawili kwenye race
 
Wagombea Ubunge jimbo la Serengeti kupitia NCCR Mageuzi, ACT Wazalendo wajitoa kwenye kinyang'anyiro cha .

1599460976831.png

1599461014027.png

1599461086721.png
 
Attachments

  • 123.PNG
    123.PNG
    30.8 KB · Views: 1
  • 1234.PNG
    1234.PNG
    46.2 KB · Views: 1
  • 12345.PNG
    12345.PNG
    49.4 KB · Views: 1
  • 1599461035596.png
    1599461035596.png
    2.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom