Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Mtajuana na mzee babaSerengeti hatupangiwagi tuna amuaga sisi sisi haki ikidhurumiwa kwanza tuna zingira halimashauli nzima tuna wahi kwa mkurugenzi tuna zingira kwa lolote tunafanya hatudhurumiwagi haki Serengeti tukiamua tunaemtaka ndie atuongoze no story maamuzi yapo kwa wana Serengeti na sio maagizo kutoka juu
Mbona Serengeti mwepesi sana unajua maana ya neno Mugumu Serengeti ? Sisi ni wagumu labda amri itoke kwa miungu ya Mugumu na sio yeyote yule sie tuna maamuzi kwa MTU tumpendae isipokua tutakushabikia ila kama hatutaki utuongoze nikitoka kupiga kura nilie mpigia lazima anaefata ampigie hayo ni maelekezo tunapeana kabla ya siku ya uchaguziMtajuana na mzee baba
Kyia Pallangy!Mimi hapa NGUSEROH PALLANGYO
Utanitag matokeo yakitoka baada ya uchaguziMbona Serengeti mwepesi sana unajua maana ya neno Mugumu Serengeti ? Sisi ni wagumu labda amri itoke kwa miungu ya Mugumu na sio yeyote yule sie tuna maamuzi kwa MTU tumpendae isipokua tutakushabikia ila kama hatutaki utuongoze nikitoka kupiga kura nilie mpigia lazima anaefata ampigie hayo ni maelekezo tunapeana kabla ya siku ya uchaguzi
Hilo jimbo linajulikana kuwa ni mali ya CHADEMAWagombea Ubunge jimbo la Serengeti kupitia NCCR Mageuzi, ACT Wazalendo wajitoa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi