Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #21
Nimekuuliza swali rahisi sana. Ikiwa Magufuli atashindwa uchaguzi hizo ahadi zitatekelezwa? Bila shaka hapana.Hiyo ya kumzuia rais aliyepo madarakani asitoe ahadi ambayo haiwezi kutekelezwa baada ya Oktoba ni kwa mujibu wa Ibara gani ya katiba ya JMT? Au sheria gani? Na hiyo ya kutaka wagombea wa upinzani kutoa ahadi kabla hata kampeni kuanza ni kwa mujibu wa ibara gani? Au mkichwa hakuna?
Wagombea wengine wana haki kwa mujibu wa ibara gani ya katiba ya JMT? Bichwa kubwa limejaa maji.Nimekuuliza swali rahisi sana. Ikiwa Magufuli atashindwa uchaguzi hizo ahadi zitatekelezwa? Bila shaka hapana.
Kwa hiyo ili walengwa wafaidike na hiyo ahadi si itabidi wampigie kura JPM? Hapo ndipo rushwa inakuja.
Kwa hiyo kama anaahidi kufanya hayo kwa kutumia madaraka yake akiwa raisi baada ya uchaguzi, ni wazi wagombea wengine wana haki ya kufanya hivyo hivyo, kwa kuwa hatujui nani atakuwa raisi.
Kwani JPM ana haki ya kuahidi vitu beyond Oct 2020 kwa mujibu wa Ibara gani ya Katiba? Inayompa raisi mstaafu mamlaka ya kuamrisha matumizi ya fedha za serikali?Wagombea wengine wana haki kwa mujibu wa ibara gani ya katiba ya JMT? Bichwa kubwa limejaa maji.
Soma ibara ya 42(3)(a) wa katiba ya JMT ndio upate jibu, we bichwa maji unayelopoka upuuzi na kuhoji ujinga.Kwani JPM ana haki ya kuahidi vitu beyond Oct 2020 kwa mujibu wa Ibara gani ya Katiba? Inayompa raisi mstaafu mamlaka ya kuamrisha matumizi ya fedha za serikali?
Kiukweli ili tufaidi inatakiwa kuwe na usawa na haki ktk huu uchaguzi na sio hizi pendeleo zinazoonekana waziwazi za vyombo vya habari.KUnunua jogoo kwa laki sio tatizo, kwa sababu inawezekana kabisa ilikuwa ni katika suala la uchangishaji. Kwani hujaona minada ya ushangishaji watu wananua vitu mara 10 ya bei yake? Hiyo ni kufanya tukio lifurahishe. Sasa huyo mtu aliyemuuzia JPM jogoo ilikuwa katika mazingira gani?
Believe me, mio sio blind supporter wa Magufuli au mtu yeyeote, so huwa napenda nisimamie ukweli
Ukiona maana CCM kakuelewa kwenye mada za maana kama hi nenda fasta msikitini ama Kanisani ukatoe sadaka ya shukurani.Yaani huelewi kabisa! Tatizo watu wenye vichwa vigumu kuelewa ndio mnaopiga kelele kuliko wengine!
wa hiyo Kikwete ana fungu la bajeti ya kutimiza ahadi zake bado?Soma ibara ya 42(3)(a) wa katiba ya JMT ndio upate jibu, we bichwa maji unayelopoka upuuzi na kuhoji ujinga.
Ndio utambue kuwa wewe bichwa maji.K
wa hiyo Kikwete ana fungu la bajeti ya kutimiza ahadi zake bado?